Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile
Mwaki

@mwaki28

l Mkulima l Baba l Live your Life.... Life is too short l Founder @Kimwakimchele

ID: 872705191652585472

linkhttps://www.linkedin.com/in/mwaki-sam-26a27522a?utm_source=share&utm_ calendar_today08-06-2017 06:41:46

145,145K Tweet

10,10K Followers

2,2K Following

John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Maharage mazuri, maharage mazuri, maharage mazuri sana. Mazuri vibaya mno. Mali safi kutoka shambani. Kilo moja 3,400 tu โ˜Ž๏ธ 0678213259

Maharage mazuri, maharage mazuri, maharage mazuri sana. Mazuri vibaya mno. Mali safi kutoka shambani.

Kilo moja 3,400 tu

โ˜Ž๏ธ 0678213259
Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

Unakaangia nini home kwako? Frypan size: 20cm-9,000 22cm-12,000 24cm-15,000 26cm-18,000 0755 693 113 ๐Ÿ“ Ubungo External karibu na Marioti Hotel Kindly retweet ๐Ÿ™

Unakaangia nini home kwako?

Frypan size:

20cm-9,000
22cm-12,000
24cm-15,000
26cm-18,000

0755 693 113

๐Ÿ“ Ubungo External karibu na Marioti Hotel 

Kindly retweet ๐Ÿ™
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku moja kila mwaka ambapo unakumbushwa kuwa muda unakwenda, na bado upo. Upo kwa sababu bado kuna sababu. Mwaka mwingine, somo jingine, neema nyingine. ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Siku 10 za Dhahabu zinazotolewa na KodeUni kwa watoto sio za kuzipuuza Mkuu, Na kwa sasa fursa hii ipo kwa wanafunzi wa Cambridge/IB kwakuwa bado wapo Likizo. Dunia ipo kasi na Dijito ndio kila kitu Mkuu, Piga simu 0745 000 555 "July 21 mpaka Aug 01 " #SummerCodeSurge

Siku 10 za Dhahabu zinazotolewa na <a href="/KodeUniKids/">KodeUni</a>  kwa watoto sio za kuzipuuza Mkuu, Na kwa sasa fursa hii ipo kwa wanafunzi wa Cambridge/IB kwakuwa bado wapo Likizo.

Dunia ipo kasi na Dijito ndio kila kitu Mkuu, Piga simu 0745 000 555

"July 21 mpaka Aug 01 "

 #SummerCodeSurge
m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘” Kama wewe ni mwanaume wa hadhi, mtanashati na mwenye kujielewa usikose angalau suti moja kali ya kaki kwenye kabati lako! ๐Ÿ”ฅ Karibu suit_mseleleko, chimbo la suti kali, original na accessories zote muhimu kwa bei isiyoumiza kichwa! > ๐Ÿ‘” Three Pieces (Koti + Suruali +

๐Ÿ‘” Kama wewe ni mwanaume wa hadhi, mtanashati na mwenye kujielewa usikose angalau suti moja kali ya kaki kwenye kabati lako!

๐Ÿ”ฅ Karibu <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a>, chimbo la suti kali, original na accessories zote muhimu kwa bei isiyoumiza kichwa!

&gt; ๐Ÿ‘” Three Pieces (Koti + Suruali +
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

ILANI YA CCM 2025โ€“2030: SERIKALI KUIMARISHA UCHUMI WA VIWANDA NA KUKUZA BIASHARA Kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030, Serikali ya awamu ya sita imekusudia kuendeleza na kuimarisha ujenzi wa uchumi wa viwanda na biashara kwa kuweka mazingira rafiki ya kuvutia wawekezaji

ILANI YA CCM 2025โ€“2030: SERIKALI KUIMARISHA UCHUMI WA VIWANDA NA KUKUZA BIASHARA

Kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030, Serikali ya awamu ya sita imekusudia kuendeleza na kuimarisha ujenzi wa uchumi wa viwanda na biashara kwa kuweka mazingira rafiki ya kuvutia wawekezaji
Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Utulivu alionao HARMONIZE katika Uandishi wa Muziki, Unafanya tupate Bidhaa ambayo inakufanya ujihisi na wewe ni Sehemu ya Wimbo. Muunganiko wa Story {Neno baada ya Neno}, {Verse baada ya Verse } ni moja ya uthibitisho wa Utulivu huu. "Harmonize ~ Coming Home" ๐ŸŽถ ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Utulivu alionao HARMONIZE katika Uandishi wa Muziki, Unafanya tupate Bidhaa ambayo inakufanya ujihisi na wewe ni Sehemu ya Wimbo.

Muunganiko wa Story {Neno baada ya Neno}, {Verse baada ya Verse } ni moja ya uthibitisho wa Utulivu huu.

"Harmonize ~ Coming Home" ๐ŸŽถ

๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

ILANI YA CCM 2025โ€“2030: SERIKALI KUENDELEA KUIKUZA SEKTA YA MADINI NCHINI. Kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025โ€“2030, Serikali ya awamu ya sita imejipanga kuendelea kuikuza sekta ya madini kwa kuifanya kuwa mhimili wa uchumi wa taifa na chanzo cha ajira, mapato, na

ILANI YA CCM 2025โ€“2030: SERIKALI KUENDELEA KUIKUZA SEKTA YA MADINI NCHINI.

Kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025โ€“2030, Serikali ya awamu ya sita imejipanga kuendelea kuikuza sekta ya madini kwa kuifanya kuwa mhimili wa uchumi wa taifa na chanzo cha ajira, mapato, na
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Unawaza nini juu ya kumpa ujuzi wa ziada mtoto wako.? Habari njema kutoka KodeUni kwa awamu nyingine tena wamekuja na Bootcamp kwa watoto wa Cambridge na IB kwajili ya mafunzo ya computer.. Maelekezo mafupi tu ili kumsajili mwanao; o ๐Ÿ—“๏ธ Tarehe: July 21 โ€“ August 01 ๐Ÿ“

Unawaza nini juu ya kumpa ujuzi wa ziada mtoto wako.?

 Habari njema kutoka <a href="/KodeUniKids/">KodeUni</a> kwa awamu nyingine tena wamekuja na Bootcamp kwa watoto wa Cambridge na IB kwajili ya mafunzo ya computer..

Maelekezo mafupi tu ili kumsajili mwanao; o

๐Ÿ—“๏ธ Tarehe: July 21 โ€“ August 01
๐Ÿ“
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Je, mtoto wako anapenda teknolojia? ๐Ÿ’ป Wasaidie kujifunza misingi ya coding na ujuzi wa digitali kupitia Bootcamp ya kipekee ya KodeUni maalum kwa wanafunzi wa Cambridge na IB! ๐Ÿ—“๏ธ Julai 21 โ€“ Agosti 1 ๐Ÿ“ Kawe, Dar es Salaam ๐Ÿ’ฐ TZS 200,000 ๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0745 000 555 Nafasi

Je, mtoto wako anapenda teknolojia? ๐Ÿ’ป

Wasaidie kujifunza misingi ya coding na ujuzi wa digitali kupitia Bootcamp ya kipekee ya <a href="/KodeUniKids/">KodeUni</a> maalum kwa wanafunzi wa Cambridge na IB!

๐Ÿ—“๏ธ Julai 21 โ€“ Agosti 1
๐Ÿ“ Kawe, Dar es Salaam
๐Ÿ’ฐ TZS 200,000
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0745 000 555

Nafasi
DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefurahi kukutana na wasichana mbalimbali wanaopigania haki za watoto na wasichana kupitia platform tofauti tofauti kwa kupaza sauti zao maana kila sauti inathamani katika kutatua changamoto za watoto na wasichana. Msichana mwenye ndoto ni moto ๐Ÿ”ฅ

Leo nimefurahi kukutana na wasichana mbalimbali wanaopigania haki za watoto na wasichana kupitia platform tofauti tofauti kwa kupaza sauti zao maana kila sauti inathamani katika kutatua changamoto za watoto na wasichana. 

Msichana mwenye ndoto ni moto ๐Ÿ”ฅ