Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile
Mwananchi Newspapers

@mwananchinews

ID: 56951263

linkhttps://linktr.ee/mwananchi calendar_today15-07-2009 07:02:34

162,162K Tweet

1,0M Followers

297 Following

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ambaye ni mgeni rasmi katika Jukwaa la Fikra 2025 lililoandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL), amesema lengo kuu la kongamano hilo ni kutafakari kwa pamoja kuhusu ujenzi wa miundombinu imara itakayochochea maendeleo jumuishi ya

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo amesema ujenzi wa miundombinu bora ikiwemo daraja jipya la JP Magufuli ni ishara ya maendeleo ya eneo husika. Amesema daraja hilo licha ya kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa mikoa ya Mwanza, Geita na nchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo amesema ujenzi wa miundombinu bora ikiwemo daraja jipya la JP Magufuli ni ishara ya maendeleo ya eneo husika.

Amesema daraja hilo licha ya kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa mikoa ya Mwanza, Geita na nchi
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kupitia utekelezaji wa baadhi ya miradi iliyojengwa kwa fedha za ndani ni ishara kuwa Tanzania inaanza kujitegemea kiuchumi. Ametolea mfano wa miaka ya hivi karibuni ujenzi uliofanyika wa mradi wa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kupitia utekelezaji wa baadhi ya miradi iliyojengwa kwa fedha za ndani ni ishara kuwa Tanzania inaanza kujitegemea kiuchumi.

Ametolea mfano wa miaka ya hivi karibuni ujenzi uliofanyika wa mradi wa
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema muda na mwingiliano wa haraka kibiashara ni miongoni mwa faida za moja kwa moja za Daraja la JP Magufuli lililozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku Juni 19, 2025. Mtanda ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema ujio wa Daraja la JP Magufuli kumeleta athari chanya ikiwemo ujenzi wa mji wa kisasa mbele ya daraja hilo linalounganisha eneo la KIgongo na Busisi wilayani Sengerema. Mtanda ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema ujio wa Daraja la JP Magufuli kumeleta athari chanya ikiwemo ujenzi wa mji wa kisasa mbele ya daraja hilo linalounganisha eneo la KIgongo na Busisi wilayani  Sengerema. 

Mtanda ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dk Blandina Kilama amesema uwepo wa daraja la JP Magufuli ambalo awali lilijulikana kwa jina la Kigongo โ€“ Busisi, utakwenda kusaidia kupunguza upotevu wa mazao kwa wakulima na kuleta mageuzi kwenye kilimo. Hiyo ni kwa

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dk Blandina Kilama amesema uwepo wa daraja la JP Magufuli ambalo awali lilijulikana kwa jina la Kigongo โ€“ Busisi, utakwenda kusaidia kupunguza upotevu wa mazao kwa wakulima na kuleta mageuzi kwenye kilimo.

Hiyo ni kwa
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema aliwahi kuwekwa 'lokapu' kisa Daraja la Magufuli, baada ya kupinga kwamba haiwezekani eneo hilo kujengwa daraja. Musukuma ameyasema hayo leo Jumapili Juni 22, 2025 wakati akizindua Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema 
aliwahi kuwekwa 'lokapu' kisa Daraja la Magufuli, baada ya kupinga kwamba haiwezekani eneo hilo kujengwa daraja.

Musukuma ameyasema hayo leo Jumapili Juni 22, 2025 wakati akizindua Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema nchi ikitaka kuendelea vizuri inapaswa kuwa na miundombinu ili kukua kiuchumi, huku akiamini baada ya miaka mitano au sita ijayo Tanzania itakua na uchumi wa kati juu. Ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema nchi ikitaka kuendelea vizuri inapaswa kuwa na miundombinu ili kukua kiuchumi, huku akiamini baada ya miaka mitano au sita ijayo Tanzania itakua na uchumi wa kati juu. 

Ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amesema ni wakati wa kuwa na mpango wa Taifa kuwezesha vijana katika miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Tanzania. Amesema vijana wanapaswa kuwezeshwa kwenye miradi katika muktadha wa kifedha na ushirikishwaji kwenye miradi hiyo ili

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amesema ni wakati wa kuwa na mpango wa Taifa kuwezesha vijana katika miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Tanzania.  

Amesema vijana wanapaswa kuwezeshwa kwenye miradi katika muktadha wa kifedha na ushirikishwaji kwenye miradi hiyo ili
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Rais wa awamu ya sita Samia Suluhu Hassan, ameonyesha sura nzuri katika utekelezaji wa miradi nchini. Musukuma ameyasema hayo leo Jumapili Juni 22, 2025 wakati akizindua Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Mwananchi

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Rais wa awamu ya sita Samia Suluhu Hassan, ameonyesha sura nzuri katika utekelezaji wa miradi nchini.

Musukuma ameyasema hayo leo Jumapili Juni 22, 2025 wakati akizindua Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Mwananchi
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Hannibal Bwire anasema Daraja la JP Magufuli la jijini Mwanza ni kiungo muhimu katika njia za usafirishaji za ushoroba wa kati nchini. Pia amesema daraja hilo lililogharimu Sh718 bilioni na kuzinduliwa Juni 19, 2025 na Rais

Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Hannibal Bwire anasema Daraja la JP Magufuli la jijini Mwanza ni kiungo muhimu katika njia za usafirishaji za ushoroba wa kati nchini.

Pia amesema daraja hilo lililogharimu Sh718 bilioni na kuzinduliwa Juni 19, 2025 na Rais
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Daraja la JP Magufuli linaendeleza sifa ya Tanzania kuwa lango la nchi nyingine za Afrika Mashariki. Kabudi ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Daraja la JP Magufuli linaendeleza sifa ya Tanzania kuwa lango la nchi nyingine za Afrika Mashariki. 

Kabudi ameyasema hayo leo Juni 22, 2025 kwenye Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Balozi John Ulanga amesema asilimia 30 hadi 50 ya bei ya bidhaa ni gharama za usafirishaji, hivyo maboresho yanapofanywa katika miundombinu yanapunguza gharama za usafiri kuongeza faida. Amesema Tanzania ni eneo la kimkakati na nchi pekee iliyofungamana na nchi nyingi hivyo

Balozi John Ulanga amesema asilimia 30 hadi 50 ya bei ya bidhaa ni gharama za usafirishaji, hivyo maboresho yanapofanywa katika miundombinu yanapunguza gharama za usafiri kuongeza faida.

Amesema Tanzania ni eneo la kimkakati na nchi pekee iliyofungamana na nchi nyingi hivyo
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Anza wiki yako na taarifa sahihi! Mwananchi ya Juni 23 unaipata hapa: iOS: shorturl.at/yJQhf Android: shorturl.at/54oE4 Tovuti: mwanaclick.com Mtandaoni mpaka mtaani, #TunawezeshaTaifa

Anza wiki yako na taarifa sahihi! 

Mwananchi ya Juni 23 unaipata hapa:
iOS: shorturl.at/yJQhf
Android: shorturl.at/54oE4
Tovuti: mwanaclick.com

Mtandaoni mpaka mtaani, #TunawezeshaTaifa
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema mkakati wa Serikali ni kuunganisha mifumo ya usafiri wa maji, barabara na reli ili kuchochea biashara na muunganiko wa kanda nzima. Kadogosa amesema muunganiko huo ni fursa ya kipekee kwa sekta binafsi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema mkakati wa Serikali ni kuunganisha mifumo ya usafiri wa maji, barabara na reli ili kuchochea biashara na muunganiko wa kanda nzima.

Kadogosa amesema muunganiko huo ni fursa ya kipekee kwa sekta binafsi
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema daraja la JP Magufuli lililopo jijini Mwanza pamoja na urefu wake wa zaidi ya kilomita 3, kitaaluma ni daraja la kihistoria kutokana na ujenzi wake ikiwemo nguzo, zege na nondo zilizotumika. Chalamila ameyasema hayo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema daraja la JP Magufuli lililopo jijini Mwanza pamoja na urefu wake wa zaidi ya kilomita 3, kitaaluma ni daraja la kihistoria kutokana na ujenzi wake ikiwemo nguzo, zege na nondo zilizotumika. 

Chalamila ameyasema hayo
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bara, Stephen Wasira amesema utawala bora ni pamoja na kutii sheria na Katiba asiyefanya hivyo ni sawa na gaidi. Wasira ameyaeleza hayo leo Jumapili Juni 22, 2025 akiwa mkoani Mwanza kwenye ziara ya kukagua uhai wa CCM katika mkoa