MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile
MwanzoTvPlus

@mwanzotvplus

Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted

ID: 2548085528

linkhttps://mwanzotv.com/ calendar_today05-06-2014 12:50:26

31,31K Tweet

119,119K Followers

271 Following

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

BALAA! WAKILI FEKI ADAKWA, TLS YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI, "MUWE MAKINI" Fuatialia kisanga kizima hapa: youtu.be/NOeQjZaUs0E

BALAA! WAKILI FEKI ADAKWA, TLS YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI, "MUWE MAKINI" 
Fuatialia kisanga kizima hapa: youtu.be/NOeQjZaUs0E
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya, wasiwe na tabia ya kasuku kukariri

#TANZANIA: KAENI KIMYA KAMA HAMJUI  NCHI ILIKOTOKA - WASIRA  
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya, wasiwe na tabia ya kasuku kukariri
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#KENYA: MCHUUZI WA BARAKOA ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI WAKATI WA MAANDAMANO NAIROBI YUPO HAI Mchuuzi wa barakoa ambaye alipigwa risasi na maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano mnamo Juni 17, 2025, yuko hai na anapokea matibabu

#KENYA: MCHUUZI WA BARAKOA ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI WAKATI WA MAANDAMANO NAIROBI YUPO HAI 
Mchuuzi wa barakoa ambaye alipigwa risasi na maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano mnamo Juni 17, 2025, yuko hai na anapokea matibabu
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

DAMU YAZIDI KUMWAGIKA! IRAN, ISRAEL ZAENDELEA KUSHAMBULIANA Tazama zaidi mashambulizi yanavyotekelezwa na pande zote mbili: youtu.be/X6H2jUTEgxA

DAMU YAZIDI KUMWAGIKA! IRAN, ISRAEL ZAENDELEA KUSHAMBULIANA
Tazama zaidi mashambulizi yanavyotekelezwa na pande zote mbili: youtu.be/X6H2jUTEgxA
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:WASIRA:WAKOLONI WALITUACHIA NCHI HAKUNA HATA DAKTARI MMOJA “Wametuachia(Wakoloni)nchi hakuna daktari hata mmoja walikuwepo madaktari kutoka India na Pakistani nao walikuwa Dar es Salaam. Wakati tunapata uhuru akina mama walikuwa hawajifungui ila wanazaa maana hakukua na

#TANZANIA:WASIRA:WAKOLONI WALITUACHIA NCHI HAKUNA HATA DAKTARI MMOJA
“Wametuachia(Wakoloni)nchi hakuna daktari hata mmoja walikuwepo madaktari kutoka India na Pakistani nao walikuwa Dar es Salaam. Wakati tunapata uhuru akina mama walikuwa hawajifungui ila wanazaa maana hakukua na
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:AU YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI TANZANIA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani. Misheni hiyo ya

#TANZANIA:AU YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI TANZANIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani.

Misheni hiyo ya
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#IRAN: KHAMENEI AAPA IRAN 'HAITASALIMU KAMWE', AONYA MAREKANI Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisema Jumatano taifa hilo halitasalimu amri kama alivyotaka Rais Donald Trump na kuionya Marekani kuwa itakabiliwa na "uharibifu usioweza kurekebishwa" ikiwa itaingilia

#IRAN: KHAMENEI AAPA IRAN 'HAITASALIMU KAMWE', AONYA MAREKANI
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisema Jumatano taifa hilo halitasalimu amri kama alivyotaka Rais Donald Trump na kuionya Marekani kuwa itakabiliwa na "uharibifu usioweza kurekebishwa" ikiwa itaingilia
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#GENEVA:POSSI:SERIKALI YA TANZANIA INACHUKULIA KWA UZITO MATUKIO YA UTEKAJI Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Kauli hiyo

#GENEVA:POSSI:SERIKALI YA TANZANIA INACHUKULIA KWA UZITO MATUKIO YA UTEKAJI

Seikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kulinda na kuendeleza haki za binadamu, utawala bora na utawala wa sheria kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025.

Kauli hiyo
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#GENEVA:BALOZI POSSI:MWANGI NA AGATHA WALIKIUKA SHERIA ZA UHAMIAJI TANZANIA Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu

#GENEVA:BALOZI POSSI:MWANGI NA AGATHA WALIKIUKA SHERIA ZA UHAMIAJI TANZANIA
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#GENEVA:BALOZI DKT POSSI:KUWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU HAKUMFANYI MTU KUWA JUU YA SHERIA “Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakumfanyi mtu kuwa juu ya sheria za nchi nyingine. Heshima kwa sheria ni msingi wa ushirikiano wa kimataifa,”-Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania

#GENEVA:BALOZI DKT POSSI:KUWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU HAKUMFANYI MTU KUWA JUU YA SHERIA
“Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakumfanyi mtu kuwa juu ya sheria za nchi nyingine. Heshima kwa sheria ni msingi wa ushirikiano wa kimataifa,”-Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

GENEVA:Tanzania yajitetea mbele Umoja wa Mataifa kuhusu matukio ya utekwaji, yafafanua tukio la Mwangi na Agatha. mwanzotv.com/tanzania-yajit…

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:KIGWANGALA:SIONI HAJA KUOGOPA KUKOPA, MWIGULU KAKOPE KWA FAIDA YA WANANCHI "Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kakope kwa faida ya wananchi wa chini, mimi naishi na Watanzania masikini wanahitaji kupata huduma za kijamii, kwa hiyo mimi sioni haja kwa nini tuogope kukopa kama

#TANZANIA:KIGWANGALA:SIONI HAJA KUOGOPA KUKOPA, MWIGULU KAKOPE KWA FAIDA YA WANANCHI
"Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kakope kwa faida ya wananchi wa chini, mimi naishi na Watanzania masikini wanahitaji kupata huduma za kijamii, kwa hiyo mimi sioni haja kwa nini tuogope kukopa kama
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:POLISI TANZANIA:MATUKIO YA UTEKAJI YANATOKANA NA IMANI POTOFU NA MATATIZO BINAFSI Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa sehemu kubwa ya matukio ya watu kuripotiwa kupotea au kutekwa nchini humo hayahusiani na vitendo halisi vya utekaji, bali yamesababishwa na sababu

#TANZANIA:POLISI TANZANIA:MATUKIO YA UTEKAJI YANATOKANA NA IMANI POTOFU NA MATATIZO BINAFSI

Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa sehemu kubwa ya matukio ya watu kuripotiwa kupotea au kutekwa nchini humo hayahusiani na vitendo halisi vya utekaji, bali yamesababishwa na sababu
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

'TANZANIA NI NCHI YENYE DEMOKRASIA ILIYOKOMAA, HAIJAWAHI KUSHINDWA KUFANYA UCHAGUZI': DK POSSI "Tanzania ni nchi yenye demokrasia iliyokomaa, imefanya chaguzi huru, za haki na za amani za vyama vingi. Kwa kweli, tangu kuzaliwa kwa taifa hili, Tanzania haijawahi kushindwa kufanya

'TANZANIA NI NCHI YENYE DEMOKRASIA ILIYOKOMAA, HAIJAWAHI KUSHINDWA KUFANYA UCHAGUZI': DK POSSI
"Tanzania ni nchi yenye demokrasia iliyokomaa, imefanya chaguzi huru, za haki na za amani za vyama vingi. Kwa kweli, tangu kuzaliwa kwa taifa hili, Tanzania haijawahi kushindwa kufanya
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#MAREKANI: TYLER PERRY ASHTAKIWA KWA TUHUMA ZA UNYANYASAJI WA KINGONO Tyler Perry, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mwandishi wa michezo ya kuigiza, na mkurugenzi kutoka Marekani anakabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono iliyofunguliwa na muigizaji Derek Dixon, ambaye

#MAREKANI: TYLER PERRY ASHTAKIWA KWA TUHUMA ZA UNYANYASAJI WA KINGONO 
Tyler Perry, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mwandishi wa michezo ya kuigiza, na mkurugenzi kutoka Marekani anakabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono iliyofunguliwa na muigizaji Derek Dixon, ambaye
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

WITO WA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MADINI Ushirikishwaji wa wananchi katika sekta ya Madini nchini itasaidia kukuza Uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. ZAIDI: youtu.be/JyG9G-KmCK0

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

BALAA! AJALI MBAYA MBEYA YAWALOWESHA MAJONZI WAFIWA Mbunge wa Mbeya Vijijini Mhe. Oran Manase Njeza, amefika na kutoa mkono wa pole kwa familia za wafiwa wa ajali ya Lori na Costa iliyotokea Juni 07, 2025 katika mteremko wa mlima Iwambi - Mbalizi wilayani Mbeya. ZAIDI: