NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile
NBCTanzania

@nbctanzania

Benki pekee inayodhamini NBC Premier League, NBC Championship na NBC Youth League.

ID: 1207965289553502208

linkhttp://www.nbc.co.tz calendar_today20-12-2019 10:06:04

8,8K Tweet

37,37K Followers

1 Following

NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐Š๐ข๐ญ๐ฎ๐จ ๐œ๐ก๐š ๐Š๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐Š๐ข๐ญ๐ฌ | ๐ƒ๐จ๐๐จ๐ฆ๐š Kwa wakazi wa Dodoma tembelea kituo hiki kupata kits au kufanya usajili: โ†’ Tawi la NBC Dodoma ๐Ÿฆ โฐ 4:00 Asubuhi mpaka 12:00 Jioni #KataWeseOkoaMaisha

๐Š๐ข๐ญ๐ฎ๐จ ๐œ๐ก๐š ๐Š๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐Š๐ข๐ญ๐ฌ | ๐ƒ๐จ๐๐จ๐ฆ๐š

Kwa wakazi wa Dodoma tembelea kituo hiki kupata kits au kufanya usajili:
โ†’ Tawi la NBC Dodoma ๐Ÿฆ
โฐ 4:00 Asubuhi mpaka 12:00 Jioni

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐„๐ฉ๐ฎ๐ค๐š ๐’๐Ž๐‹๐ƒ ๐Ž๐”๐“ Tiketi zinakaribia kuisha. Jisajili sasa kwa kubonyeza events.nbc.co.tz halafu tukutane Dodoma tarehe 27/07/2025 kwenye NBC Dodoma Marathon. #KataWeseOkoaMaisha

๐„๐ฉ๐ฎ๐ค๐š ๐’๐Ž๐‹๐ƒ ๐Ž๐”๐“

Tiketi zinakaribia kuisha. Jisajili sasa kwa kubonyeza events.nbc.co.tz halafu tukutane Dodoma tarehe 27/07/2025 kwenye NBC Dodoma Marathon.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

5๐Š๐Œ ๐’๐จ๐ฅ๐ ๐Ž๐ฎ๐ญ Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye #NBCDodomaMarathon2025. Kwa wale waliokosa tiketi za 5KM mnaweza kujisajili kushiriki 21KM au 10KM. #KataWeseOkoaMaisha

5๐Š๐Œ ๐’๐จ๐ฅ๐ ๐Ž๐ฎ๐ญ

Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye #NBCDodomaMarathon2025.

Kwa wale waliokosa tiketi za 5KM mnaweza kujisajili kushiriki 21KM au 10KM.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Jana tulimtembelea Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Muhimbili, Dkt. Delilah Kimambo, kwa pongezi za uteuzi na kumpatia rasmi kit ya NBC Dodoma Marathon 2025. #KataWeseOkoaMaisha

Jana tulimtembelea Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Muhimbili, Dkt. Delilah Kimambo, kwa pongezi za uteuzi na kumpatia rasmi kit ya NBC Dodoma Marathon 2025.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

21๐Š๐Œ ๐’๐จ๐ฅ๐ ๐Ž๐ฎ๐ญ Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye #NBCDodomaMarathon2025. Kwa wale waliokosa tiketi za 21KM mnaweza kujisajili kushiriki 10KM. #KataWeseOkoaMaisha

21๐Š๐Œ ๐’๐จ๐ฅ๐ ๐Ž๐ฎ๐ญ

Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye #NBCDodomaMarathon2025.

Kwa wale waliokosa tiketi za 21KM mnaweza kujisajili kushiriki 10KM.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Ofa ya punguzo iMooo Talatala Lounge Lipia misosi ๐Ÿฅ˜ na vinywaji ๐Ÿฅƒ๐Ÿนkwa kutumia NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ uweze kurudishiwa 10% ya bili yako. Ofa hii ni kuanzia tarehe 25-27 Julai, Usiishi kinyonge Dodoma ๐Ÿ˜ #NBCVisaDebitCard

Ofa ya punguzo iMooo Talatala Lounge

Lipia misosi ๐Ÿฅ˜ na vinywaji ๐Ÿฅƒ๐Ÿนkwa kutumia NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ uweze kurudishiwa 10% ya bili yako.

Ofa hii ni kuanzia tarehe 25-27 Julai, Usiishi kinyonge Dodoma ๐Ÿ˜

#NBCVisaDebitCard
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Ofa ya punguzo iMooo Southern Empire Hotel Lipia malazi, misosi ๐Ÿฅ˜ na vinywaji ๐Ÿฅƒ๐Ÿนkwa kutumia NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ uweze kurudishiwa 10% ya bili yako. Ofa hii ni kuanzia tarehe 25-27 Julai, 2025. Usiishi kinyonge Dodoma ๐Ÿ˜. #NBCVisaDebitCard

Ofa ya punguzo iMooo Southern Empire Hotel

Lipia malazi, misosi ๐Ÿฅ˜ na vinywaji ๐Ÿฅƒ๐Ÿนkwa kutumia NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ uweze kurudishiwa 10% ya bili yako.

Ofa hii ni kuanzia tarehe 25-27 Julai, 2025. Usiishi kinyonge Dodoma ๐Ÿ˜.

#NBCVisaDebitCard
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Dodoma Mapema leo tumemkabidhi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko kit rasmi ya NBC Dodoma Marathon 2025 itakayofanyika tarehe 27.07.2025 Dodoma. Mhe. Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni wetu Rasmi wa NBC Dodoma Marathon 2025. #KataWeseOkoaMaisha

๐Ÿ“Dodoma

Mapema leo tumemkabidhi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko kit rasmi ya NBC Dodoma Marathon 2025 itakayofanyika tarehe 27.07.2025 Dodoma.

Mhe. Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni wetu Rasmi wa NBC Dodoma Marathon 2025.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Dodoma Mapema leo asubuhi, tukiongozwa na Mkurugenzi wetu wa Wateja Wakubwa, Bw. Elvis Ndunguru na Mkurugenzi Mtendaji wa GSM Foundation, Bi. Faith Gugu tumekabidhi kits rasmi za NBC Dodoma Marathon 2025 kwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel M. Maneno.

๐Ÿ“Dodoma

Mapema leo asubuhi, tukiongozwa na Mkurugenzi wetu wa Wateja Wakubwa, Bw. Elvis Ndunguru na Mkurugenzi Mtendaji wa GSM Foundation, Bi. Faith Gugu tumekabidhi kits rasmi za NBC Dodoma Marathon 2025 kwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel M. Maneno.
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio ratiba yetu rasmi ya #NBCDodomaMarathon2025 itakayofanyika tarehe 27.07.2025, Uwanja Wa Jamhuri. Karibuni sana. #KataWeseOkoaMaisha

Hii ndio ratiba yetu rasmi ya #NBCDodomaMarathon2025 itakayofanyika tarehe 27.07.2025, Uwanja Wa Jamhuri.

Karibuni sana.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐’๐Ž๐‹๐ƒ ๐Ž๐”๐“ Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye NBC Dodoma Marathon 2025. Kwa wale waliokosa tiketi tukutane tena mwakani. #NBCDodomaMarathon2025 #KataWeseOkoaMaisha

๐’๐Ž๐‹๐ƒ ๐Ž๐”๐“

Tunapenda kuwashukuru wote waliojiandikisha kushiriki kwenye NBC Dodoma Marathon 2025.

Kwa wale waliokosa tiketi tukutane tena mwakani.

#NBCDodomaMarathon2025 #KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Leo tumekabidhi kits za NBC Dodoma Marathon 2025 kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda. Ujumbe wetu uliongozwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa, Elvis Ndunguru na Mkuu wa Mawasiliano Godwin Semunyu. #KataWeseOkoaMaisha

Leo tumekabidhi kits za NBC Dodoma Marathon 2025 kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda. 

Ujumbe wetu uliongozwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa, Elvis Ndunguru na Mkuu wa Mawasiliano Godwin Semunyu.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Kama Upepo?! Maliza malipo ya tiketi ya SGR, bili zote, au kutuma pesa kwenda mitandao ya simu kwa urahisi kupitia NBC Kiganjani. #UkigusaTuiMooo

Kama Upepo?!

Maliza malipo ya tiketi ya SGR, bili zote, au kutuma pesa kwenda mitandao ya simu kwa urahisi kupitia NBC Kiganjani.

#UkigusaTuiMooo
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Tafadhali tembelea Tawi la NBC Dodoma kuchukua kit yako. Mwisho wa kutoa kits ni leo tarehe 26.07.2025, saa 12:00 Jioni. #KataWeseOkoaMaisha

Tafadhali tembelea Tawi la NBC Dodoma kuchukua kit yako. Mwisho wa kutoa kits ni leo tarehe 26.07.2025, saa 12:00 Jioni.

#KataWeseOkoaMaisha
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Dodoma Juzi, tukiongozwa na Mkurugenzi wetu wa Wateja Wakubwa, Bw. Elvis Ndunguru na Mkurugenzi Mtendaji wa GSM Foundation, Bi. Faith Gugu tulimkabidhi kits rasmi za NBC Dodoma Marathon 2025 kwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel M. Maneno.