
NMB Bank Plc
@nmbtanzania
We are committed to a customer experience that brings us closer to you with every engagement #NMBClosetoyou nmbbank.co.tz
ID: 2176257342
https://www.nmbbank.co.tz 05-11-2013 15:08:16
26,26K Tweet
46,46K Followers
490 Following








Usikubali kupitwa na gawio tena, kama wewe ni mwanahisa wa NMB na haujawahi kupata gawio lako, wasiliana nasi kupitia 0800 002 002, [email protected] au kwa kufika katika tawi letu la karibu yako kupata msaada zaidi. #NMBAGM2025 #NMBKaribuYako


Mwanahisa mpya tupo na wewe kila hatua. Hakiki taarifa zako kwa urahisi kupitia nambari 0800 002 002, barua pepe [email protected], au tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe. #NMBAGM2025 #NMBKaribuYako
