NTV News (@ntvnewsroom) 's Twitter Profile
NTV News

@ntvnewsroom

Breaking news & live updates from the @ntvkenya Digital team

ID: 1133998249

linkhttp://ntv.nation.co.ke calendar_today30-01-2013 12:50:37

196,196K Tweet

308,308K Followers

388 Following

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Waititu Na Familia Kikaangoni: Aliyekuwa gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, na familia yake wanatakiwa kushtakiwa na ufujaji wa shilingi milioni 50 za umma. Hii ni mara nyingine tena Waititu na familia yake wanajipata chumani. #NTVWikendi Fridah Mwaka Brian Obuya

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Raila Aikosoa Idara Ya Polisi: Muungano wa Azimio watishia kumng'atua afisini Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome kufuatia mauaji ya waandamanaji. #NTVWikendi Fridah Mwaka

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

KETRACO Sh18 Billion Scandal: EACC has unearthed an Sh18 billion loss at Kenya Power. For the last 14 years, Kenya Power has been paying for power not fed into the national grid, investigations reveal. #NTVWeekendEdition Number8, the poet Brygettes Ngana

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mourning Demo Victims: Azimio leaders now want police IG Japhet Koome out of office over cases of police killings and for claiming that dead bodies were hired to feign such killings. #NTVWeekendEdition Number8, the poet Ibrahim Karanja.

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mandago receives a dress down; World Bank suspends financing to Uganda over gay law... Here's a look back at the top stories of the week.

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Walishika Wanjiru Si 'Mathee Wa Ngara' Familia ya Teresia Wanjiru na majirani wasema polisi walimkamata mshukiwa siye. Faili ya NIS inasema mshukiwa Nancy Kigunzu amefanikiwa kwa miaka mingi kuwashawishi polisi kutomtia mbaroni. #NTVJioni Nuru AbdulAziz Brian Obuya

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Another DCI Goof? It is now emerging that police may have arrested the wrong woman in 'Mathe Wa Ngara' narcotics syndicate. A confidant has told NTV that the real 'Mathee', Nancy Kigunzu, was tipped off minutes to the operation. #NTVTonight Number8, the poet Brian Obuya