Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile
Nancy Sumari

@nancysumari

Childrens’ book author|Gets kids coding with @jengahub|Runs @NsfoundationTZ & @Bongofive|Mandela Fellow ‘17, Obama leader ‘19|@Wef Shaper| @UCL alumni

ID: 32344423

calendar_today17-04-2009 08:01:19

4,4K Tweet

306,306K Followers

367 Following

Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Ninapenda kukitambulisha rasmi kitabu changu cha tatu cha watoto, kilichopewa jina linalobeba umuhimu na maana kubwa sana, jina la ‘SAMIA’. Umuhimu huu unatokana na tukio la nchi yetu kupata Rais wa kwanza Mwanamke, ikiwa ni tukio la kihistoria kwa nchi yetu ya Tanzania.

Ninapenda kukitambulisha rasmi kitabu changu cha tatu cha watoto, kilichopewa jina linalobeba umuhimu na maana kubwa sana, jina la ‘SAMIA’.
Umuhimu huu unatokana na tukio la nchi yetu kupata Rais wa kwanza Mwanamke, ikiwa ni tukio la kihistoria  kwa nchi yetu ya Tanzania.
Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Kila tukio la historia linapotokea, hatuna budi kulienzi kwa kunakili. Ndio sababu kuu na maana halisi ya kuandika kitabu hiki, kinachoangazia maisha ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Simulizi hii ya maisha ya Mh. Rais, inalenga kumfundisha mtoto, na sisi sote, kujiamini, kujituma, kuishi maisha ya mfano katika utumishi, uaminifu katika kazi, na pia namna ya kukabili changamoto, na kusonga mbele kwenye maisha.

Kitabu hiki cha ‘SAMIA’ kinapatikana sasa kwenye maduka yote ya: 1. A Novel Idea , Slipway Dar na Arusha 2. TPH Bookshop , Samora Avenue na UDOM Dodoma 3. MAK Bookstores - Oysterbay na Mlimani City 4. MommyandAlma Shop Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa TZ

Kiiya JK (@kiiyajk) 's Twitter Profile Photo

Hongera Nancy Sumari. Kazi ya #Malezi ni yetu wana-jamii. Nafarijika kuona jitihada hizi za kuweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa maandishi. Namna hii watoto wanaamshwa ari na shauku zao katika kuijenga kesho bora kwao. Bora kuliko hii ya kwetu. Kongole. Nitaijia nakala.

kidsfinancewithtracy (@tracyrabi) 's Twitter Profile Photo

We are Preparing An Exciting Future For Your Child! Get ready for the most historic moment, this December. CHILDREN BOOT CAMP! Embracing Entrepreneurship, Digital and Finance Education for Kids! Jenga Hub Natokaje Kidigitali🪄 GetrudeM Nancy Sumari Lily Makoi Rabi

We are Preparing An Exciting Future For Your Child!

Get ready for the most historic moment, this December.

CHILDREN BOOT CAMP!
Embracing Entrepreneurship, Digital and Finance Education for Kids!
Jenga Hub Natokaje Kidigitali🪄  GetrudeM Nancy Sumari  Lily Makoi Rabi
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Timu ya #ElimikaWikiendi tunampongeza mdau wetu katika masuala mtawalia ya elimu, Bi. Nancy Sumari kwa kutambulisha rasmi kitabu cha watoto chenye maudhui ya kihistoria na masuala mtawalia yaliyotokea katika nchi yetu hususan katika vipindi vya uongozi nchini.

Timu ya #ElimikaWikiendi tunampongeza mdau wetu katika masuala mtawalia ya elimu, Bi. Nancy Sumari kwa kutambulisha rasmi kitabu cha watoto chenye maudhui ya kihistoria na masuala mtawalia yaliyotokea katika nchi yetu hususan katika vipindi vya uongozi nchini.
Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Asante Sana kila mmoja wenu kwa mapokezi mazuri ya kitabu cha ‘SAMIA’. Nimefarijika sana kwa kuungwa mkono zaidi ya matarajio yangu. Ni kweli kwamba sisi Watanzania ni watu Rahim sana. Kipekee nimshukuru mchoraji wa kitabu hiki Tito, kwa ushirikiano ulioupa maneno uhai.

Asante Sana kila mmoja wenu kwa mapokezi mazuri ya kitabu cha ‘SAMIA’.
Nimefarijika sana kwa kuungwa mkono zaidi ya matarajio yangu. Ni kweli kwamba sisi Watanzania ni watu Rahim sana. Kipekee nimshukuru mchoraji wa kitabu hiki Tito, kwa ushirikiano ulioupa maneno uhai.
Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Nimepata heshima kuweza kuzindua kitabu cha ‘SAMIA’ rasmi kwenye Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi, Zanzibar, aliposoma Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan. Ninaamini, kila msichana atakayesoma kitabu hiki, atajiona katika safari ya Mama, na atahamasika kutetea na kutimiza ndoto zake

Nimepata heshima kuweza kuzindua kitabu cha ‘SAMIA’ rasmi kwenye Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi, Zanzibar, aliposoma Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan.
Ninaamini, kila msichana atakayesoma kitabu hiki, atajiona katika safari ya Mama, na atahamasika kutetea na kutimiza ndoto zake
Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Kipekee nimshukuru sana, mwenyeji wangu, Mhe Wanu Hafidh Ameir MP- Viti Maalum ambaye pia Mwenyekiti @Mwanamkeorg, pia Mama Fatma Mwasa ambaye ni mwenyekiti mtendaji wa @Mwanamkeorg , Rais wa Wanafunzi na waziri wake anayeshughulikia mambo ya wanawake shuleni, na Walimu Wote

inalipa inc (@inalipa_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunakusogezea kilicho bora kila wakati. Pata vitabu vyenye mengi ya kujifunza kwa watoto wako toka kwa Nancy Sumari kwa kutembelea inalipa app au bit.ly/tysnbks na kufanya manunuzi sasa. Delivery ni BURE. #inalipaapp

Daily News Tanzania (@dailynewstz) 's Twitter Profile Photo

DOWN MEMORY LANE 16TH DECEMBER 2005: MISS World Africa, Nancy Sumari (left) hugs Salma Kikwete, wife of Presidential candidate Jakaya Kikwete, upon her arrival at Julius Nyerere Internationa Airport in Dar es Salaam. #DailyNewsArchives

DOWN MEMORY LANE
16TH DECEMBER 2005: MISS World Africa, Nancy Sumari (left) hugs Salma Kikwete, wife of Presidential candidate Jakaya Kikwete, upon her arrival at Julius Nyerere Internationa Airport in Dar es Salaam.
#DailyNewsArchives
Nancy Sumari (@nancysumari) 's Twitter Profile Photo

Kwako kijana unayetamani kujiendeleza kimasomo,fursa ya scholarship za Chevening zinazotolewa na @ukintanzania ziko wazi kwa ajili yako.Kama mmoja ya vijana waliofanikiwa kusoma kwa kupitia program hii, ninakusihi usiache ku apply.#CheveningScholarship #CheveningAlumni

UNICEF Tanzania (@uniceftanzania) 's Twitter Profile Photo

We’re embarking on a journey like never before🏔️ Together with Nancy Sumari we’re taking on the highest peak in Africa to deliver one message: The climate crisis is a child’s rights crisis! Let's stand together for a better, sustainable future #ForEveryChild! #WorldChildrensDay

UNICEF Tanzania (@uniceftanzania) 's Twitter Profile Photo

We’re celebrating #WorldChildrensDay by conquering new heights for child rights💙 In a world threatened by climate change, we took on the highest mountain in #Africa with celebrities Nancy Sumari & Gaudence Lekule to symbolize our commitment to climate action #ForEveryChild💙

Not all heroes wear capes. Some, #Climb4Kids💙 Nancy Sumari & Gaudence Lekule have joined hands with @unicef🇹🇿 to conquer Mount #Kilimajaro for the rights of every child! Together, we can protect the rights of our children against the threats of climate change. #WorldChildrensDay