Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile
Ngome ya vijana_Official

@ngomeyavijana

Ukurasa Rasmi Wa Ngome Ya Vijana @ACTwazalendo youtube.com/channel/UCEm1N…

ID: 721902913296211968

calendar_today18-04-2016 03:27:21

5,5K Tweet

9,9K Followers

78 Following

Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Idara ya fedha Ngome ya vijana_Official Taifa Bi Rahuuuum amechukua fomu kuomba ridhaa ndani ya chama kupeperusha bendera ya Ubunge Jimbo la Kinondoni. Ngome ya Vijana Taifa pamoja na Vijana wa ACTWazalendo tunamtakia kila lakheri #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara

Naibu Katibu Idara ya fedha Ngome ya vijana_Official Taifa Bi Rahuuuum amechukua fomu kuomba ridhaa ndani ya chama kupeperusha bendera ya Ubunge Jimbo la Kinondoni.
Ngome ya Vijana Taifa pamoja na Vijana wa ACTWazalendo tunamtakia kila lakheri

#SautiyaVijana
#VijanaMakini
#TaifaImara
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Leo 14 mei 2025 📌 Katibu Ngome ya vijana_Official Mkoa wa Tabora ndg Hamad Said Mtoga amechukua fomu ya kugombea udiwani kata ya Malolo jimbo la Tabora mjini #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara

Leo 14 mei 2025 📌
Katibu Ngome ya vijana_Official Mkoa wa Tabora ndg Hamad Said Mtoga amechukua fomu ya kugombea udiwani kata ya Malolo jimbo la Tabora mjini

#SautiyaVijana
#VijanaMakini
#TaifaImara
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Waziri Kivuli wa Vijana, Kazi na Ajira ofisi ya Waziri Mkuu Kivuli ACTWazalendo Eng Ndolezi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini. Ngome ya vijana_Official inakutakia kila lakheri. #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara

Waziri Kivuli wa Vijana, Kazi na Ajira ofisi ya Waziri Mkuu Kivuli ACTWazalendo Eng Ndolezi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini. Ngome ya vijana_Official inakutakia kila lakheri.

#SautiyaVijana
#VijanaMakini
#TaifaImara
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Kivuli wa Sanaa, Utamaduni na Michezo ACTWazalendo Ndugu Monalisa Ndala amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama kugombea Ubunge Jimbo la Kibamba. Ngome ya vijana_Official inakutakia kila lakheri katika hatua zinazofuata. #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara

Naibu Waziri Kivuli wa Sanaa, Utamaduni na Michezo ACTWazalendo Ndugu Monalisa Ndala amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama kugombea Ubunge Jimbo la Kibamba. Ngome ya vijana_Official inakutakia kila lakheri katika hatua zinazofuata.

#SautiyaVijana
#VijanaMakini
#TaifaImara
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 18, 2025 Naibu Mwenezi wa ACTWazalendo, Ndugu shangwe Ayo amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Arumeru Mashariki. Ngome ya vijana_Official inaamini katika kuwapa nafasi Wagombea Vijana katika siasa na tunakutakia kila lakheri #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara

Leo Mei 18, 2025 Naibu Mwenezi wa ACTWazalendo, Ndugu shangwe Ayo amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Arumeru Mashariki.
Ngome ya vijana_Official inaamini katika kuwapa nafasi Wagombea Vijana katika siasa na tunakutakia kila lakheri

#SautiyaVijana
#VijanaMakini
#TaifaImara
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

GENERATION OMO 2025 Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Mkoani Pemba kichama leo 29/5/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa majimbo yote ya mkoa huo #Ngomeipokazini #2025OMOanatosha #2025mwakawakuinusuruzanzibar

GENERATION OMO 2025

Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Mkoani Pemba kichama leo 29/5/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa  majimbo yote ya mkoa huo

#Ngomeipokazini
#2025OMOanatosha
#2025mwakawakuinusuruzanzibar
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

GENERATION OMO 2025 Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Wete Pemba kichama leo 31/5/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa majimbo yote ya mkoa huo #Ngomeipokazini #2025OMOanatosha #2025mwakawakuinusuruzanzibar

GENERATION OMO 2025

Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Wete Pemba kichama leo 31/5/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa  majimbo yote ya mkoa huo

#Ngomeipokazini
#2025OMOanatosha
#2025mwakawakuinusuruzanzibar
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

GENERATION OMO 2025 Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Chakechake Pemba kichama leo 1/6/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa majimbo yote ya mkoa huo #Ngomeipokazini #2025OMOanatosha #GenerationOMO

GENERATION OMO 2025

Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Chakechake Pemba kichama leo 1/6/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa  majimbo yote ya mkoa huo

#Ngomeipokazini
#2025OMOanatosha
#GenerationOMO
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

GENERATION OMO 2025 Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Micheweni Pemba kichama leo 2/6/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa majimbo yote ya mkoa huo #Ngomeipokazini #2025OMOanatosha #GenerationOMO

GENERATION OMO 2025

Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Micheweni Pemba kichama leo 2/6/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa  majimbo yote ya mkoa huo

#Ngomeipokazini
#2025OMOanatosha
#GenerationOMO
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Kesho Juni 03, 2025 Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 7:00 Mchana #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Kesho Juni 03, 2025 Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari.

Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 7:00 Mchana

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia