Niite chagu (@niitechagu) 's Twitter Profile
Niite chagu

@niitechagu

@realmadriden @chelseafc

@YoungAfricansSc

ID: 1741703068578689025

calendar_today01-01-2024 06:09:34

27,27K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Bau (@amjustbau) 's Twitter Profile Photo

Huyu baller angekua middle au winger angepewa balon d or toka Jana ila Sasa watajizungusha wampeee tu fundi huyu kabeba Kila kitu ๐Ÿ”ฅ

Huyu baller angekua middle au winger angepewa balon d or toka Jana ila Sasa watajizungusha wampeee tu fundi huyu kabeba Kila kitu ๐Ÿ”ฅ
I prosper & Lead๐Ÿ‘‘ (@iwilllive_x) 's Twitter Profile Photo

Sijuhi Jana kale kajamaa miwani kangeivaa kwa namna Gani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Mungu anajua kutuepusha na Matatizo aisee ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™๐Ÿ™

Nassib Mkomwa (@nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

Yanga SC kwenye Kikao cha leo na Bodi ya Ligi iliuliza ripoti ya uchaguzi uliofanywa hadi sasa. Bodi ya Ligi TPLB ilisema ripoti hiyo ipo ya kilichotokea March 08 ila ni siri Kwasababu kuna kiongozi wa serikali alipiga simu geti la Benjamin Mkapa lisifunguliwe March 07.

Yanga SC kwenye Kikao cha leo na Bodi ya Ligi iliuliza ripoti ya uchaguzi uliofanywa hadi sasa.

Bodi ya Ligi TPLB ilisema ripoti hiyo ipo ya kilichotokea March 08 ila ni siri Kwasababu kuna kiongozi wa serikali alipiga simu geti la Benjamin Mkapa lisifunguliwe March 07.
Nassib Mkomwa (@nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

UPDATES ๐Ÿ‘‡ Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema hautacheza mchezo wa Fainali ya Kombe la CRDB dhidi ya Singida Black Stars kama shirikisho la soka nchini TFF haijawalipa pesa zao za Ubingwa wa msimu uliopita.

UPDATES ๐Ÿ‘‡ 

Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema hautacheza mchezo wa Fainali ya Kombe la CRDB dhidi ya Singida Black Stars kama shirikisho la soka nchini TFF haijawalipa pesa zao za Ubingwa wa msimu uliopita.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

โ€œNiwaambie TFF na washirika wetu CRDB Bank kuwa Yanga haitocheza mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Singida Black Stars hadi tutakapolipwa fedha zetu zetu za ubingwa wa msimu uliopita, tumechoka kuleanaโ€ Ally Kamwe

โ€œNiwaambie TFF na washirika wetu CRDB Bank kuwa Yanga haitocheza mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Singida Black Stars hadi tutakapolipwa fedha zetu zetu za ubingwa wa msimu uliopita, tumechoka kuleanaโ€

Ally Kamwe
shallipop (@shallipops) 's Twitter Profile Photo

YANGA HAWATACHEZA MCHEZO WA FAINALI WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB BANK HATUTACHEZA mchezo wa Fainali wa CRDB siku ya tarehe 28, mpaka tutakapolipwa hela yetu ya Ubingwa kwa msimu uliopita.

YANGA HAWATACHEZA MCHEZO WA FAINALI WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB BANK
HATUTACHEZA mchezo wa Fainali wa CRDB siku ya tarehe 28, mpaka tutakapolipwa hela yetu ya Ubingwa kwa msimu uliopita.
BlackMan๐Ÿฆ (@lusekeloworld) 's Twitter Profile Photo

Usi laumu watu kwasababu hawaja kusaidia au kufanya ulicho tarajia ...Bali jilaumu wewe kwa kuweka Matarajio makubwa kwao ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ Evening

Toto la kishua (@mswatiking_01) 's Twitter Profile Photo

So far ukiangalia utagundua kuwa Yanga Haitaki mpira wa Tanzania uendelee ila inatumia mwanya kunaonesha chuki waliyokuwa nayo kwa muda mrefu dhidi ya TPLB na TFF. Hii chuki ni kubwa sana wala haiwezi kuisha kwa watu kujiuzuru.

Ismail (@mofey205) 's Twitter Profile Photo

Kumbe Ndio Maaana Baaasii Tushajua Hizi Kelele Zinatoka Wapi Mngesema Mapema Tu Mpewe Pesa Zenu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ

Kumbe Ndio Maaana Baaasii Tushajua Hizi Kelele Zinatoka Wapi Mngesema Mapema Tu Mpewe Pesa Zenu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ