Emmanuel nkana Js's (@nkanajss) 's Twitter Profile
Emmanuel nkana Js's

@nkanajss

Godly 🙏!! fans! Of! @Chelsea!! @Yanga!! and @Music

ID: 1094619630142930945

calendar_today10-02-2019 15:30:31

4,4K Tweet

755 Followers

630 Following

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Ni kosa kuzungumzia maslahi ya Taifa langu nikiwa jimboni kwangu, kwamba pale hapakuwa mahala pake. Ila sio kosa wabunge kutumia muda waliotumwa na wananchi wao kuwawakilisha, kunizungumzia.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Kama MNAUA Watu Kwanini Tusiseme? Hakuna AMANI Bila HAKI. Kama Amani Itakua Kwenu Haki Ni Msingi Wake. Mpeni Askofu RT 200🤝

Hamadi.Mbeyale🔥🔥 (@hamadchadema) 's Twitter Profile Photo

Nitoe mwito kwa wanachadema wote mkoa wa mbeya na Nchi kwa ujumla na wapenda Haki wote kuwa mnamo tr 30.06.2025 Kesi iliyofunguliwa juu ya Kutekwa kwa Mdude Nyagali itasikilizwa Mahakama kuu kanda ya Mbeya, Hivyo mnaalikwa kuja kusikiliza. @Freemdude @NoreformsNoElection.

Nitoe mwito kwa wanachadema wote mkoa wa mbeya na Nchi kwa ujumla na wapenda Haki wote kuwa mnamo tr 30.06.2025  Kesi iliyofunguliwa juu ya Kutekwa kwa <a href="/mdudenyagali/">Mdude Nyagali</a> itasikilizwa Mahakama kuu kanda ya Mbeya, Hivyo mnaalikwa kuja  kusikiliza.
@Freemdude
@NoreformsNoElection.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

NASIKIA MACHAWA MNASEMA NI FAKE!? Hii hapa link 👇🏾 Shenzi zenu 🚮 Tanzanian police have arrested two local YouTubers as President Samia Suluhu Hassan’s government steps up a crackdown on dissent ahead of elections bloomberg.com/news/articles/…

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATE Tumefanikiwa kupata mtu wa karibu na familia ya Viola katuhakikishia kwamba Viola yupo sehemu salama ila hapatikani kwenye simu kwasababu za kiusalama. Tumuombee Mungu azidi kumlinda yeye pamoja na watu wote ambao wanapigania Haki.🙏 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

#UPDATE 

Tumefanikiwa kupata mtu wa karibu na familia ya Viola katuhakikishia kwamba Viola yupo sehemu salama ila hapatikani kwenye simu kwasababu za kiusalama.

Tumuombee Mungu azidi kumlinda yeye pamoja na watu wote ambao wanapigania Haki.🙏

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Vince™ (@blue_footy) 's Twitter Profile Photo

‼️ While Chelsea reached out to Olympique Lyonnais for information on the deal last week, it's Liverpool that remains genuinely interested in Fofana. ~ Sacha Tavolieri

‼️ While Chelsea reached out to Olympique Lyonnais for information on the deal last week, it's Liverpool that remains genuinely interested in Fofana.

~ <a href="/sachatavolieri/">Sacha Tavolieri</a>
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mchezo wa Yanga na Simba, waamuzi wametoka Egypt. Kwanini? Wanataka maamuzi yasiyokuwa na upendeleo. Lakini Serikali ya CCM inataka CHADEMA tuingie katika uchaguzi ambao viongozi wa Tume ya Uchaguzi wameteuliwa na M’kiti wa CCM ambaye pia ni mgombea. Ipo hivi #NoReformsNoElection

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

MONDAY AFYA TIPS REPOST KWA AFYA YA MPENDWA MMOJA 🥕🍏. Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa. Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone. Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini. Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍→

MONDAY AFYA TIPS  REPOST KWA AFYA YA MPENDWA MMOJA 🥕🍏.

Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa.

Almonds &amp; Karanga 🥜 → Testosterone.

Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini.

Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!

Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!

Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!

Nanasi 🍍→
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7... Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi.... Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili ashike Mimba... NB: Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote, na

Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7...

Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi....

Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili ashike Mimba...

NB: Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote, na
Larry P. Kent (@larrypkent) 's Twitter Profile Photo

The Bible states that only Jesus of Nazareth can provide forgiveness of sins, the gift of eternal life, and adoption as a child of God. Jesus answered, "I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me." John 14:6 on-tract.com

Dear God (@most_highgod) 's Twitter Profile Photo

The most powerful Bible verse: "If you don't feel like praying, force it. Because something is also forcing you not to pray." JAMES 4:7

Vince™ (@blue_footy) 's Twitter Profile Photo

Now, those who blocked and muted me for preaching Maresca's gospel should unmute and unblock, and tender a sound apology. 😂

Now, those who blocked and muted me for preaching Maresca's gospel should unmute and unblock, and tender a sound apology. 😂
Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Hata kama wewe sio #Chelsea Repost pls duniani tunapita😂😂 27,000/= tunatuma mikoa yote 👉Zipo #Fans na #Player Version +255 623 346 245 au 0714336827 #TUNATUMA MIKOA YOTE

Hata kama wewe sio #Chelsea Repost pls duniani tunapita😂😂

27,000/= tunatuma mikoa yote

👉Zipo #Fans na #Player Version

+255 623 346 245 au
0714336827

#TUNATUMA MIKOA YOTE
Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍

👉Size S_______2XL
👉Bei   27,000/=

Wa.me/+255623346245
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA