Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile
Joramu Nkumbi

@nkumbijoram

Author 6 Books AMAZON 📚📚=| MBA | MLUMBI I Leadership Expert /John 15:16 IMC | Trainer-0757464874 MD:AYLF and PLO Lumumba Foundation SUB YOUTUBE —Joramu Nkumbi

ID: 2611938503

calendar_today15-06-2014 17:42:16

2,2K Tweet

58,58K Followers

344 Following

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Kama vile mpiga mishale anavyopenda mshale unaoruka, vivyo hivyo hupenda pia upinde unaobaki thabiti mikononi mwake. Vipo vinavyoondoka na vipo vinayobakia mikononi mwetu vyote vinakamilisha shabaha ya maisha. Katika kurusha mshale kuna kupata na kuna kukosa. Endelea kurusha,

Kitabu ni zawadi unayoweza kuifungua tena na tena.Chumba kisicho na vitabu ni kama mwili usio na roho.Ni hasa kupitia vitabu ndipo tunapoweza kuwasiliana na akili za kipekee.Katika vitabu bora kabisa, watu wakuu hutuambia mambo,hutushirikisha mawazo yao ya thamani

Hon. Dr. Kisembo Ronex Tendo (@ronexkisembo) 's Twitter Profile Photo

ikulu_Tanzania Kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni jambo la busara sana. Nasi tukiwa Ikulu Entebbe 🇺🇬 tarehe 28 Oktoba 2024, tulimkabidhi nakala ya Jarida/Kitabu chetu ambacho kilikua kinaangazia miaka 25 tangu Baba wa Taifa la 🇹🇿 na mmoja wa wasisi wa East African Community na African Union

<a href="/ikulumawasliano/">ikulu_Tanzania</a> Kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni jambo la busara sana. Nasi tukiwa Ikulu Entebbe 🇺🇬 tarehe 28 Oktoba 2024, tulimkabidhi nakala ya Jarida/Kitabu chetu ambacho kilikua kinaangazia miaka 25 tangu Baba wa Taifa la 🇹🇿  na mmoja wa wasisi wa <a href="/jumuiya/">East African Community</a> na <a href="/_AfricanUnion/">African Union</a>
Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Julius K. Nyerere on freedom (uhuru) 1.Uhuru na Umoja 2.Uhuru na Maendeleo 3.Uhuru na Ujamaa 4.Freedom and Unity 5.Freedom and Development 6.Freedom and Socialism 7.Man and Development 8.Our Leadership and the Destiny of Tanzania

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

1. Surprise = Mzimbao 2. Dilemma= Mtanziko 3. Master of Ceremonies = Mfawidhi wa sherehe 4. Waiter/Waitress= Mwandazi/Mlisha 5. Escalator /lift = Kambarau 6. Helmet = Huda 7. Yogurt = Mtindi 8. Toothpick = Kimbaka/Kichokoo 9. Round about = Kikuta

1. Surprise = Mzimbao 
2. Dilemma= Mtanziko 
3. Master of Ceremonies = Mfawidhi wa sherehe 
4. Waiter/Waitress= Mwandazi/Mlisha 
5. Escalator /lift = Kambarau 
6. Helmet = Huda 
7. Yogurt = Mtindi 
8. Toothpick = Kimbaka/Kichokoo 
9. Round about = Kikuta
Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Surprise = Mzimbao Cock = Bilula Helmet = Huda Karakara = Passion Apple = Tufaha Juice = Sharubati Yorgut = Gururu Waiter/Waitress = Mwandazi/Mlisha Toothpick = Kimbaka / Kichokoo