
Nape Moses Nnauye
@nnauye_nape
Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. βThe most important shot in golf is the next one.β
ID: 3435205457
22-08-2015 08:13:53
5,5K Tweet
1,0M Followers
7,7K Following










Nimeishi kijijini Bukumbi. Nimetumia kivuko cha Kigongo Feri kwa miaka kadhaa. Kukamilika kwa daraja hili, kumeweka Sura ya kuvutia sana kwenye KITABU cha Rais Samia. Hongera sana Samia Suluhu ! Kwa hakika kila zama na Kitabu chake, kitabu chako kinapendezaππΎβ




