
NTOBI
@ntobi_
Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595
ID: 570745497
http://chadema.or.tz/ 04-05-2012 08:57:32
25,25K Tweet
78,78K Followers
2,2K Following






Leo Juni 03, 2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ndugu NTOBI na miongoni wa waanzilishi wa CHADEMA Digital Glory Tausi(Glory Tausi) wamejiunga ACTWazalendo. Wawili hao wamepokelewa na Katibu Mkuu Ado Shaibu. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia



Karibuni ACTWazalendo Ndugu zangu NTOBI na Glory Tausi tujenge #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.




Karibuni sana ACTWazalendo ndugu zetu NTOBI na Glory Tausi tuendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na kuleta mabadiliko wanayoyataka wananchi. Karibuni tujenge #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.



Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe , KC Mstaafu. Ninakushukuru kwa dhati kwa kunikaribisha kwa moyo mkunjufu ndani ya chama cha ACT Wazalendo. Ukarimu wako na maneno yako ya kutia moyo yamenitia hamasa kubwa kuungana nanyi katika harakati za kujenga Tanzania yenye usawa, haki, na maendeleo kwa

Kama wewe ni mwanasiasa unayetaka kufanya siasa na unaona jukwaa ulilopo linakunyima fursa hiyo au jukwaa uliloamua kuhamia linakupa mashaka na mazonge, usisite kufanya uamuzi sahihi. Karibu ACTWazalendo Jukwaa sahihi la kufanya siasa zenye kuangaza masuala yanayohusu watu.


Nilifurahishwa na NTOBI na Glory Tausi kwenda ACTWazalendo. Kila lakheri kwenye jukwaa jingine la mapambano.

I’m an official member of ACTWazalendo, holding a Maalim Seif-tier membership card. #MuhuniHasusiwi💪🏽



Jambo KUUUUUUUUUUUUBWAAAAAAA kesho kutoka Maalim Seif House, Makao Makuu ya ACTWazalendo
