
Nukta Africa
@nuktaafrica
We are a digital media company specialising in research, training and development of digital and data-driven news and tools. We ❤ data & digital storytelling.
ID: 1035839955870904320
http://www.nuktaafrica.co.tz 01-09-2018 10:41:05
2,2K Tweet
1,1K Followers
655 Following

"AI inaweza kuleta urahisi kwa wanahabari katika kuchambua na kuelewa takwimu." - Nuzulack J. Dausen, Nukta Africa. #WPFD2025 x.com/i/spaces/1yoJM…

"AI imerahisisha sana upatikanaji wa data (Takwimu). AI inasaidia katika kukusanya, kuchambua na kuwasilisha data kwa njia rahisi na iliyo bora," - Nuzulack J. Dausen, CEO Nukta Africa #WPFD2025 x.com/i/spaces/1yoJM…

"Kila chombo cha habari kinahitaji kuwa na miongozo wezeshi ya matumizi ya AI inayoakisi miongozo ya maadili na kanuni za uandishi wa habari ya chombo husika." - Victor Amani. #WPFD2025 x.com/i/spaces/1yoJM…

"Hizi AI nyingi ziko kwenye majaribio, uhakiki wa data zake ni muhimu wa sababu tuna wajibu wa kuwapatia walaji takwimu sahihi kwa ajili ya kuboresha maisha yao,"- Nuzulack J. Dausen, Afisa Mtendaji Mkuu Nukta Africa #AIMedia #WPFD2025



"Maendeleo ya teknolojia kama ilivyo kwa AI yanakuja ili kurahisisha na kuondoa dhana hiyo, haina haja ya kutumia Akili, nguvu na muda mwingi. AI ni kifaa kinachotakiwa kutambua matumizi bora ambayo wewe unatakiwa kutambua jinsi ya kutumia," Esau Ezra Ng'umbi, Mhariri Nukta Habari


"Miaka 10 ijayo, vyombo vingi vya habari vitakuwa vinatumia #AI katika mfumo mzima wa uchakataji na usambazaji wa habari. AI inaenda katika ngazi ya chini ya jamii, tuangalie fursa tutoke tunayo," Nuzulack J. Dausen, Afisa Mtendaji Mkuu Nukta Africa. #WPFD2025 #AIinMedia








ARUSHA: Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack J. Dausen "Kutumia Akili Mnemba (AI) kunapunguza gharama na muda wa kutengeneza maudhui, lakini vyombo vya habari vinapaswa kujifunza mbinu za kupata kipato kupitia Akili Mnemba (AI)". #WorldPressFreedomDay #wpfd2025



Mkurugenzi wa Nukta Africa Nuzulack J. Dausen amesema "Changamoto kubwa kwa wahakiki taarifa ni uzushi kutoka kwa watu. Pia serikali kuchelewa na kuwa wazito kuchukua hatua, hivyo kupelekea taarifa potofu kusambaa". #WPFD2025 #worldpressfreedomday


Mkurugenzi Mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack J. Dausen Amesema "Watu hutumia vibaya vyanzo vya taarifa, hivyo elimu kwa Umma na Waandishi wa habari ni muhimu. Pia, Serikali ishirikiane na wadau wa habari katika kutengeneza sheria rafiki za uhakiki wa taarifa". #WPFD2025



