AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile
AmosiNyanda

@nyandaamosi

I Left My 9-5 Office For Lunch And NEVER returned…NOW Writing Copy for a Living—(The Prince Of Print)

ID: 1102572019684724737

linkhttps://amosnyanda.lpages.co/lp/ calendar_today04-03-2019 14:10:29

58,58K Tweet

74,74K Followers

667 Following

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kuna Umri Ukifika Kama MWANAUME Unatakiwa Kujua Vitu Viwili: 1). Hakuna Mtu Anayejali Kuhusu Wewe Mpaka Pale Utakapokuwa na Kitu Cha THAMANI cha Kuleta Mezani 2). Kila Kitu Unachokitaka Duniani ni Jukumu Lako Kukipata kwa 100% PS: Pandisha THAMANI Yako!

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

MWANAUME: Thamani yako Mbele ya Macho ya Wengine unaitengeneza Mwenyewe Kutokana Na… -Vitu Unavyomiliki -Taarifa, Pesa & Ujuzi Ulionao Tofauti kabisa na Mwanamke… Yeye Anazaliwa Tayari akiwa na THAMANI—Ila hiyo Thamani ilipewa Limit ya Muda

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Nadhani Ujuzi Muhimu Zaidi Katika Soko La Sasa ni—Jinsi Ya KU-MONETIZE Attention! PS: Attention ni Pesa Ikikutembelea Isikuache Mikono Mitupu!

Research Tips (@assertivebro) 's Twitter Profile Photo

Kuna wale jama wa Mabibo hostel wanauza getho assets zima. (Offer Creation) Ukiangalia ni kama wanaishi maandishi ya mtaalamu AmosiNyanda , kama Kuna wadau humu wanawafahamu wamcheki mwamba awaandikie copy Moja matata. Madogo ndio vyuo vinafungwa Muda wa kutafuta magetho

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kama Upo Kwenye INFORMATION Marketing Business—Ujuzi Unaohitaji Kujenga ili Kufanya Sales za Maana SIO… -Copywriting skills -Closing Skills -Storytelling -Lead generation -List Building Bali ni: “OFFERS CREATION”

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kwa Kipindi Cha Miaka 5 Nimejenga Jumla ya SKILLS 6—Ambazo ni: 1) Copywriting Skills 2)Closing Skills 3)Lists building 4)Funnels Building 5)Storyselling ILA: Ujuzi ulionisumbua Kuujenga Kuliko Wote ni: “OFFERS CREATION” Na Ndio Muhimu Klk Zote

V▪︎E▪︎T▪︎A ®️ (@philipsimon2) 's Twitter Profile Photo

Wewe F•A•L•A -- Na mwenzio Gillsant v10 ninawakukubali kinoma mmenifanya nikajua namna ya kuandika, kupanga maandishi kitalaam kwenye uandishi wa mawasiliano na media plus social networks. Kudos kwa AmosiNyanda and Gillsant v10 live long Bros -- Hatua 👣 #tuishi na Örienthomëz

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kama Una Ujuzi, Kipaji, Experience & Hobbies—Hiyo ni BIASHARA Tayari,Jifunze Tu Jinsi ya Ku-Package & Ku-Monetize Online—then Boom Voila! PS: Inspired by Ontario!

Kama Una Ujuzi, Kipaji, Experience & Hobbies—Hiyo ni BIASHARA Tayari,Jifunze Tu Jinsi ya Ku-Package & Ku-Monetize Online—then Boom Voila! 

PS: Inspired by Ontario!
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Ngoja nifungue kanisa kutakua na ibada kama ifuatavyo Jumatatu- UI/UX nitawaletea mtume Zaburi Frolian — e/acc Jumanne-Waumini watajifunza software dvt toka kwa mtumishi Jisena J5- Copywritting toka kwa mtumishi AmosiNyanda Alh & Ijumaa - Uwinga toka kwa nabii It's MalekoGJ. 🫵🏾😅