
Conso Goddy
@odariconsolata
ID: 1454770894463766528
31-10-2021 11:27:07
1,1K Tweet
37 Followers
131 Following

Karibu ndani ya #GoodEveningKenya makao makuu ya #Porojo ukiwa nami Kamau Munyua . Je, unasikiliza kipindi ukiwa maeneo yapi ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne


Wikendi yako ilikuwaje Msikilizaji? Hujambo na Karibu Mwana #MixedFlavours na Karibu Tuanze wiki na Baraka zake Mwenyezi Mungu Ndani ya #MiracleMonday na Esther Mwikali Umefungulia Wiki yako wapi Leo Msikilizaji? Tujuze SMS:21967 SIMU/WHATSAPP: 07 22 174 200


Kipindi chako #GoodEveningKenya kiko hewani ukiwa nami Kamau Munyua . Jizee, upo ndani ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne




Hujambo Mwana #MixedFlavors na Karibu Kwenye #WisdomWednesday na Esther Mwikali Unakita kambi ukiwa wapi leo msikilizaji? Karibu Tupokezane hekima SMS:21967 SIMU/WHATSAPP:07 22 174 200


Makala unayoyapenda ya #GoodEveningKenya yameanza na jizee Kamau Munyua yuko hewani! Umeshindaje leo, na unaskiliza ukiwa wapi? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne




Wakati umefika wa kuweza kutuliza akili baada ya shughuli mingi za siku. Karibu ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa na Kamau Munyua. Je, unaskiza show ukiwa maeneo gani ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne


HOSSANA MACHEO:- Je wajua moyo wa kutokata tamaa watokana na kumtegemea Mungu, kwa hivyo mtegemee tu ...Zaburi 27:14... "Mtegemee Mwenyezi-Mungu! Uwe na moyo, usikate tamaa! Naam, mtegemee Mwenyezi-Mungu!.." youtube.com/watch?v=otNNGE… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm @VictormandalaMC


Karibu ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa na Jizee lenye hekima na busara Kamau Munyua akikupeleka mazungumzo na burudani kuanzia 8PM-12AM .Unawalilkisha eneo gani la nchi jioni hii ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne


Radio Citizen Kamau Munyua Kileleshwa n tuko ndaani kama kawa

HOSSANA MACHEO:- Marko 10:27 Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika youtube.com/watch?v=3d7q93… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm Victor Mandala


HOSSANA MACHEO:- Happy New week; Usikate tamaa 2 Petro 3:9 Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali huwavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba youtube.com/watch?v=ay6qAi… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm Victor Mandala



HOSSANA MACHEO:- Ni furahidei, Waebrania 11:6 Basi, pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu. Kwa maana kila mtu anayemwendea Mungu ni lazima aamini kwamba Mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta youtube.com/watch?v=YeqvQB… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm Victor Mandala


HOSSANA MACHEO:- Hii leo Mungu anaenda kukupigania, usikate tamaa ...Kutoka 14:14... "Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu...” youtube.com/watch?v=EpYGrv… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm Victor Mandala Lucy Nyaga


HOSSANA MACHEO:- Mungu hachelewi na hatachelewa 2 Petro 3:9 Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali huwavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba youtube.com/watch?v=vOLZOV… #HossanaMacheo #Himizo Biblia Husema 96.7fm Victor Mandala

