humphrey E ottaru (@ofcl_humphrey) 's Twitter Profile
humphrey E ottaru

@ofcl_humphrey

Coordinator @globalimpactt | Youth SDG,s Champion| UN Youth Fellow 2024| Youth Peace Advocator

ID: 963272595503222784

calendar_today13-02-2018 04:44:18

1,1K Tweet

190 Followers

476 Following

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa ni siku ya tabasamu! ๐Ÿ˜Š Tunakutakia Ijumaa njema #GITImpact #FridayVibes #GlobalImpactTransformation #Friday #Tanzania #Africa

Ijumaa ni siku ya tabasamu! ๐Ÿ˜Š
Tunakutakia Ijumaa njema 

#GITImpact #FridayVibes
#GlobalImpactTransformation
#Friday #Tanzania #Africa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Bahari ni uhai, ni uchumi, ni urithi wetu wa pamoja. Kuulinda si hiari, ni wajibu wa kizazi chetu. ๐๐š๐ก๐š๐ซ๐ข ๐˜๐ž๐ญ๐ฎ, ๐–๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐–๐ž๐ญ๐ฎ #GITImpact #Climate #Environment #Ecofriendly #Sustainability #Grassroot #Women #Tanzania #Africa

Bahari ni uhai, ni uchumi, ni urithi wetu wa pamoja. Kuulinda si hiari, ni wajibu wa kizazi chetu.

๐๐š๐ก๐š๐ซ๐ข ๐˜๐ž๐ญ๐ฎ, ๐–๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐–๐ž๐ญ๐ฎ

#GITImpact #Climate #Environment #Ecofriendly 
#Sustainability #Grassroot #Women #Tanzania #Africa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Empowering young women is not optional, it is essential. At GIT we believe that when #Girls and young #Women are equipped with knowledge, skills, and safe spaces, they become powerful agents of change. This session is one of many efforts to build their leadership, amplify their

Empowering young women is not optional, it is essential.
At GIT we believe that when #Girls  and young #Women are equipped with knowledge, skills, and safe spaces, they become powerful agents of change. This session is one of many efforts to build their leadership, amplify their
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

GIT continues to invest in young people by enrolling students into Peace, GBV Prevention, and E-STEAM Clubs in rural schools across the Tanga Region. These clubs playing a vital role in shaping responsible, skilled, and community minded future leaders who are prepared to

GIT continues to invest in young people by enrolling students into Peace, GBV Prevention, and E-STEAM Clubs in rural schools across the Tanga Region. 

These clubs playing a vital role in shaping responsible, skilled, and community minded future leaders who are prepared to
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

GIT tunaamini kuwa pale ambapo wanawake wanapopewa maarifa, ujuzi, na mazingira salama, wanageuka kuwa viongozi jasiri na wachochezi wa mabadiliko chanya kwenye jamii zao. Tuwe sehemu ya kuwaunga mkono, kuwasikiliza, na kuwatia moyo maana kuinuka kwao ni maendeleo yetu sote.

GIT tunaamini kuwa pale ambapo wanawake wanapopewa maarifa, ujuzi, na mazingira salama, wanageuka kuwa viongozi jasiri na wachochezi wa mabadiliko chanya kwenye jamii zao. 

Tuwe sehemu ya kuwaunga mkono, kuwasikiliza, na kuwatia moyo maana kuinuka kwao ni maendeleo yetu sote.
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Plastic pollution poses a critical threat to people and planet, but through local innovation and sustainable systems, we can transform this challenge into opportunity. Together, letโ€™s build inclusive, circular economies that protect the environment, drive green jobs, and leave

Plastic pollution poses a critical threat to people and planet, but through local innovation and sustainable systems, we can transform this challenge into opportunity. 

Together, letโ€™s build inclusive, circular economies that protect the environment, drive green jobs, and leave
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Earlier this weekend, Global Impact Transformation (GIT), in collaboration with #EmergingGenerationInitiative, successfully hosted a Youth Forum known as ๐—ž๐—œ๐—ง๐—”๐—” ๐—™๐—ข๐—ฅ๐—จ๐—  at the University of Dar es Salaam. The session focused on equipping young people with leadership

From ending poverty to promoting innovation, the SDGs provide a unified path for women and girls to rise, thrive, and lead. When women succeed, communities prosper. #GITImpact #WomenEntrepreneurs #GlobalGoals2030 #Tanzania #Africa

From ending poverty to promoting innovation, the SDGs provide a unified path for women and girls to rise, thrive, and lead. 

When women succeed, communities prosper.

#GITImpact #WomenEntrepreneurs #GlobalGoals2030 #Tanzania #Africa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

GIT inayo heshima kubwa kusaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Her Initiative ikiwa ni mwanzo wa ushirikiano wa kimkakati katika awamu ya pili ya utekelezaji wa Mradi wa Mshiko Club๐Ÿค. Ushirikiano huu ni fursa adhimu ya kuwawezesha wanafunzi, hususan wasichana, kwa kuwapatia

GIT inayo heshima kubwa kusaini Hati ya Makubaliano (MoU) na <a href="/herinitiative/">Her Initiative</a>  ikiwa ni mwanzo wa ushirikiano wa kimkakati katika awamu ya pili ya utekelezaji wa Mradi wa Mshiko Club๐Ÿค. 

Ushirikiano huu ni fursa adhimu ya kuwawezesha wanafunzi, hususan wasichana, kwa kuwapatia
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

The first group of GIT Champions trained in alternative charcoal production are now driving clean energy solutions using agricultural waste supporting Tanzaniaโ€™s national agenda on renewable energy while creating green jobs and protecting our environment. ๐—ช๐—ต๐—ฒ๐—ป ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต

The first group of GIT Champions trained in alternative charcoal production are now driving clean energy solutions using agricultural waste supporting Tanzaniaโ€™s national agenda on renewable energy while creating green jobs and protecting our environment.

๐—ช๐—ต๐—ฒ๐—ป ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

๐—™๐—ฟ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐˜†๐˜€ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐˜€๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐˜€๐Ÿ˜Š As the week winds down, Friday reminds us to pause, breathe, and embrace the little joys. May your weekend be filled with peace, warmth, and gentle moments to recharge #GITImpact #FridayVibes #WeekendWellness

๐—™๐—ฟ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐˜†๐˜€ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐˜€๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐˜€๐Ÿ˜Š

As the week winds down, Friday reminds us to pause, breathe, and embrace the little joys. May your weekend be filled with peace, warmth, and gentle moments to recharge

#GITImpact #FridayVibes #WeekendWellness
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Kupitia ushirikiano wa karibu na jamii, GIT inaendeleza juhudi za kutunza mazingira ya bahari sambamba na kukuza uchumi wa buluu, kwa kuwawezesha na kuwahusisha wanawake, vijana, na wavuvi kuwa mstari wa mbele katika matumizi endelevu na ulinzi wa rasilimali za baharini.

๐‡๐Ž๐ƒ๐ˆ ๐‡๐Ž๐ƒ๐ˆ ๐“๐€๐๐†๐€! Hatimaye W.E.L.L. (Womenโ€™s Empowerment for Livelihoods and Leadership) initiative imefika Tanga! Baada ya safari ya mafanikio katika mikoa ya Bagamoyo, Mtwara na Dar es Salaam (Tandale na Manzese), sasa Tanga nayo imefungua milango kwa wanawake na

๐‡๐Ž๐ƒ๐ˆ ๐‡๐Ž๐ƒ๐ˆ ๐“๐€๐๐†๐€!

Hatimaye W.E.L.L. (Womenโ€™s Empowerment for Livelihoods and Leadership) initiative imefika Tanga! 

Baada ya safari ya mafanikio katika mikoa ya Bagamoyo, Mtwara na Dar es Salaam (Tandale na Manzese), sasa Tanga nayo imefungua milango kwa wanawake na
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

๐–๐ž ๐๐จ๐งโ€™๐ญ ๐›๐ซ๐ข๐ง๐  ๐ฌ๐จ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐ญ๐จ ๐œ๐จ๐ฆ๐ฆ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ข๐ž๐ฌ, ๐ฐ๐ž ๐›๐ฎ๐ข๐ฅ๐ ๐ญ๐ก๐ž๐ฆ ๐ญ๐จ๐ ๐ž๐ญ๐ก๐ž๐ซ At GIT, we uplift grassroots leadership, amplify lived experiences, and invest in local systems that create inclusive, resilient futures #GITImpact

๐–๐ž ๐๐จ๐งโ€™๐ญ ๐›๐ซ๐ข๐ง๐  ๐ฌ๐จ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐ญ๐จ ๐œ๐จ๐ฆ๐ฆ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ข๐ž๐ฌ, ๐ฐ๐ž ๐›๐ฎ๐ข๐ฅ๐ ๐ญ๐ก๐ž๐ฆ ๐ญ๐จ๐ ๐ž๐ญ๐ก๐ž๐ซ

At GIT, we uplift grassroots leadership, amplify lived experiences, and invest in local systems that create inclusive, resilient futures

 #GITImpact
Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Je, unafahamu umuhimu wa elimu nje ya mfumo rasmi katika kuwajenga vijana kuwa wabunifu na kutatua changamoto za kila siku? Her Initiative kwa kushirikiana na Global Impact Transformation tumelifanya hili kwa vitendo kupitia ziara ya Mshiko Club ya Malambamawili.

Je, unafahamu umuhimu wa elimu nje ya mfumo rasmi katika kuwajenga vijana kuwa wabunifu na kutatua changamoto za kila siku?

Her Initiative kwa kushirikiana na <a href="/globalimpactt/">Global Impact Transformation</a> tumelifanya hili kwa vitendo kupitia ziara ya Mshiko Club ya Malambamawili.
Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi walijifunza kwa vitendo kutengeneza rangi ya viatu na mkaa mbadala, sambamba na elimu juu ya malengo ya maendeleo endelevu na jinsi ya kuhusisha miradi yao na changamoto zao shuleni.

Kupitia Her Initiative, walipata mtaji wa kuanzia, hatua inayowasaidia wasichana kubaki shuleni, kujiamini na kufurahia masomo yao na kutatua changamoto ndogo ndogo zinazowakabili shuleni #yestifinancialfreedom

Kupitia Her Initiative, walipata mtaji wa kuanzia, hatua inayowasaidia wasichana kubaki shuleni, kujiamini na kufurahia masomo yao na kutatua changamoto ndogo ndogo zinazowakabili shuleni

#yestifinancialfreedom
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa iliyopita, GIT kwa kushirikiana na Her Initiative tuliendesha mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari Malamba Mawili kupitia #MshikoClub wanafunzi walijifunza kutengeneza mkaa mbadala na KIWI ya viatu kwa kutumia malighafi rafiki kwa mazingira. Mafunzo haya

Ijumaa  iliyopita, GIT kwa kushirikiana na <a href="/herinitiative/">Her Initiative</a> tuliendesha mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari Malamba Mawili kupitia #MshikoClub wanafunzi  walijifunza kutengeneza mkaa mbadala na KIWI ya viatu kwa kutumia malighafi rafiki kwa mazingira.

Mafunzo haya
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

When communities lead in safeguarding their environment, the impact extends across the blue economy, from healthier oceans to more resilient livelihoods. Every piece of plastic removed is a step toward restoring marine ecosystems and strengthening coastal economies.

When communities lead in safeguarding their environment, the impact extends across the blue economy, from healthier oceans to more resilient livelihoods.

Every piece of plastic removed is a step toward restoring marine ecosystems and strengthening coastal economies.
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

KITAA Forum ni jukwaa linalolenga kuwajenga vijana, kuwaandaa kikamilifu na kuwapa ujuzi wa kukabiliana na changamoto mbalimbali, hususan wanapohitimu masomo na kuingia katika maisha ya kujitegemea. Ushiriki wa GIT katika forum hii ni sehemu ya mkakati mpana wa kuwezesha vijana

KITAA Forum ni jukwaa linalolenga kuwajenga vijana, kuwaandaa kikamilifu na kuwapa ujuzi wa kukabiliana na changamoto mbalimbali, hususan wanapohitimu masomo na kuingia katika maisha ya kujitegemea.

Ushiriki wa GIT katika forum hii ni sehemu ya mkakati mpana wa kuwezesha vijana