Alikiba (@officialalikiba) 's Twitter Profile
Alikiba

@officialalikiba

President and Owner of @CrownMediaTz| Founder Of KingsMusicRecords Label Contact : @stanbicbanktz Brand Amb. [email protected] - ONLY ONE KING AlbumπŸ‘‡πŸ½

ID: 579729443

linkhttps://smartklix.com/ONLYONEKING calendar_today14-05-2012 09:51:49

12,12K Tweet

916,916K Followers

217 Following

Maua Sama (@mauasama) 's Twitter Profile Photo

It’s a β€˜β€™MAJOR HIT’’ Nitampata Wapi Visualizer is Available on YouTube. Hit the Link πŸ’œ youtu.be/fKdLNSJZB5E?si…

Stanbic Tanzania (@stanbicbanktz) 's Twitter Profile Photo

Tupo sambamba na biashara yako popote ulipo. Tunakurahisishia kupokea malipo na miamala kupitia njia zetu nyingi zinazowezesha malipo haya kwenda moja kwa moja kwenye account yako ya Stanbic. Nia yetu ni kukuwezesha kufatilia maokoto yako kwa ufanisi na kwa njia salama. Wasiliana

Tupo sambamba na biashara yako popote ulipo. Tunakurahisishia kupokea malipo na miamala kupitia njia zetu nyingi zinazowezesha malipo haya kwenda moja kwa moja kwenye account yako ya Stanbic. Nia yetu ni kukuwezesha kufatilia maokoto yako kwa ufanisi na kwa njia salama. Wasiliana
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mfalme wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA @officialalikiba ni moja kati ya waalikwa walioshiriki maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM leo Februari 5 Jijini Dodoma. πŸ“Έ | abou99kiba #CrownMedia #HapaNiNyumbani

Mfalme wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA @officialalikiba ni moja kati ya waalikwa walioshiriki maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM leo Februari 5 Jijini Dodoma.

πŸ“Έ | <a href="/abou99kiba/">abou99kiba</a> 

#CrownMedia #HapaNiNyumbani
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Dullah_theKing🎧 Msanii Yoyote Hawezi Jutia Kumshirikisha ALIKIBA Kwenye Kazi Yake Alikiba Ananyoosha. CHEGE Ft ALIKIBA: Kiba Kaua Vibaya πŸ”₯ DULY SYKS Ft ALIKIBA: Kiba Kaua πŸ”₯ RAYVANNY Ft ALIKIBA: Kiba Kaua πŸ”₯ DARASSA Ft ALIKIBA: Kiba Kaua πŸ”₯

Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

Mimi binafsi naupenda MUZIKI, na ili uu-enjoy Muziki unapaswa kuusikia RAW (Live) nikienda tamasha ambalo si LIVE huwa labda iwe ni kazi tu, ila kama natoa pesa yangu basi ni kazima iwe LIVE na mhusika basi niwe na uhakika naye, ndio maana Sauti Za Busara huwa na enjoy sana.

Stanbic Tanzania (@stanbicbanktz) 's Twitter Profile Photo

Usalama wa shughuli zako za kifedha ni kipaumbele kwetu! Kupitia huduma ya iPay, malipo yako ya kimataifa ni rahisi na salama. Kuna benki za kibiashara halafu kuna kuwezeshwa mafanikio kibiashara ukiwa na Stanbic Bank. Wasiliana nasi bure 0800 751021.

Usalama wa shughuli zako za kifedha ni kipaumbele kwetu! 
Kupitia huduma ya iPay, malipo yako ya kimataifa ni rahisi na salama. 

Kuna benki za kibiashara halafu kuna kuwezeshwa mafanikio kibiashara ukiwa na Stanbic Bank. Wasiliana nasi bure 0800 751021.
Stanbic Tanzania (@stanbicbanktz) 's Twitter Profile Photo

Kazi kwako! Unachotakiwa kufanya tu ni kuhakikisha unatumia Stanbic Visa Debit Card yako kufanya miamala na uongeze nafasi zako za kuingia kwenye droo ya kila mwezi ya kushinda pesa taslimu. #StanbicVisa Card #TapKibingwa

Kazi kwako!  Unachotakiwa kufanya tu ni kuhakikisha unatumia Stanbic Visa Debit Card yako kufanya miamala na uongeze nafasi zako za kuingia kwenye droo ya kila mwezi ya kushinda pesa taslimu.
 
#StanbicVisa Card #TapKibingwa
Alikiba (@officialalikiba) 's Twitter Profile Photo

Mpambanaji, ujanja wa kweli ni kuhakikisha akaunti yako inavimba! Usihangaike na pesa taslimu, weka kila mitonyo moja kwa moja kwenye akaunti yako kupitia mashine za kuweka pesa za Stanbic Tanzania . Hakuna foleni, zinapatikana masaa 24, na muamala unaingia papo hapo. Unaweza

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kubwa kwa King Alikiba kwa ubunifu wa kutuletea #SamiaCup na team nzima ya Crown FM kwa kusimamia vyema. Muhimu zaidi, hongera ya kibabe sana kwa team yangu #BadNationFC chini ya Marioo na nimefurahi kushuhudia wakicheza jana usiku. Yaani tupewe tu πŸ† letu πŸ’ͺ🏽

Pongezi kubwa kwa King <a href="/OfficialAliKiba/">Alikiba</a> kwa ubunifu wa kutuletea #SamiaCup na team nzima ya <a href="/crownfmtz/">Crown FM</a> kwa kusimamia vyema. 

Muhimu zaidi, hongera ya kibabe sana kwa team yangu #BadNationFC chini ya Marioo na nimefurahi kushuhudia wakicheza jana usiku. Yaani tupewe tu πŸ† letu πŸ’ͺ🏽