
Tina Ogal
@ogaltina
ID: 2238121259
22-12-2013 13:39:54
3,3K Tweet
55,55K Followers
712 Following

Karibu ndani ya Jumatatu ya mazungumzo ikiwa leo hii tunajadili Msongo wa mawazo miongoni mwa vijana #DriveOnReloaded Radio Citizen


Sylvia Atieno anatusimulia story Yake ndani ya Alhamisi ya mahojiano Ndani ya show kubwa #DriveOnReloaded Radio Citizen


Karibu sana ndani ya Ibada ikiwa leo hii tumefika Kimana KAG loitoktok town pamoja na watangazaji wa Radio Citizen tukisambaza injili .



Karibu ndani ya Jumatano maridadi Ikiwa ni siku ya kina dada #DriveOnReloaded Radio Citizen


Karibu ndani ya Alhamisi ya mahojiano ikiwa leo hii tunamhoji Sylvia kuhusu magumu aliyopitia #DriveOnReloaded Radio Citizen



Karibu ndani ya Jumanne maridadi ndani ya show kubwa #DriveOnReloaded Radio Citizen Unasikiliza ukiwa maeneo gani?



Karibu sana ndani ya show kubwa #DriveOnReloaded Radio Citizen Jumatano maridadi unasikiliza ukiwa maeneo gani?


Karibu sana ndani ya Alhamisi ya mahojiano,Ikiwa holiday ndio hii imejipa Rafiki unasikiliza #DriveOnReloaded ukiwa maeneo gani? Radio Citizen


Karibu sana ndani ya show kubwa #DriveOnReloaded Ikiwa leo hii tunaangazia Afya ya akili ya wanaume #MensMentalHealthAwarenessMonth Radio Citizen


Karibu ndani ya Jumanne ya Burudani Ndani ya show kubwa #DriveOnReloaded Radio Citizen




Happy Sabbath. Be still before the Lord and wait patiently for him. Psalm 37:7 #HappyBirthday Rafiki #JambokenyaChangamka Radio Citizen


"Every new month offers a fresh start."Karibu ndani ya Show kubwa #DriveOnreloaded Radio Citizen #HappynewmonthRafiki


Worshipping today at Jetview SDA church in utawala Karibu Ushiriki Nasi Radio Citizen #Happysabbath Rafiki


Karibu sana ndayi ya show kubwa #DriveOnreloaded Jumatatu ya leo ikiwa tunajadili jinsi ya kutafuta usaidizi wakati unasumbuliwa na msongo wa mawazo Radio Citizen


Karibu sana ndani ya Jumanne ya mahojiano Leo hii tuna sema naye Jane Ambani ambaye alipitia Maisha ya majaribio sana #DriveOnreloaded Radio Citizen
