Angas Oketch (@oketchangas) 's Twitter Profile
Angas Oketch

@oketchangas

Jategi

ID: 1800376316484632576

calendar_today11-06-2024 03:56:25

548 Tweet

33 Followers

104 Following

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo 22 Yatakayokupa Elimu ya Pesa, Maisha na Mafanikio Kuliko Digrii ya miaka 4. KUMBUKA: "Pesa Ni Roho" UZI. Repost Iwafikie Wana!

Mafunzo 22 Yatakayokupa Elimu ya Pesa, Maisha na Mafanikio Kuliko Digrii ya miaka 4.

KUMBUKA: "Pesa Ni Roho"

UZI.

Repost Iwafikie Wana!
Jeffrey Smith (@smith_jeffreyt) 's Twitter Profile Photo

This is outrageous and honestly infuriating. Millicom and its mobile phone brand, Tigo, were secretly passing Tundu Antiphas Lissu's phone data to #Tanzania's repressive regime that was intent on killing him. He later survived being shot 16 times in Sept. 2017. theguardian.com/world/2024/sep…

Dr. Jackson Munuo (@munuoja) 's Twitter Profile Photo

Jambo TV Ushauri mzuri sana kutoka kwa mwanasiasa kulinda wanasiasa wabaya. Plato alizungumza nini kuhusu ushiriki katika siasa? ā€œIf good, intelligent people don't want to serve in government, they will be ruled by people who are bad, dishonorable, and dumb.ā€

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

ā€œNimevunja Ile Genge ya Polisi iliyokuwa inateka watu nyara, na nimetoa msimamo wangu kama Rais kwamba utekaji haukubaliki katika Taifa letu la Kenya na hayataruhusiwa katika serikali hiiā€ Rais Ruto. Edwin Odemba William Samoei Ruto, PhD

CHASO DAR ES SALAAM (@darchaso) 's Twitter Profile Photo

Kongamano kongamano vijana wote wa vyuo vikuu vyuo vya kati na secondary tunakutana tarehe 24/5 makao makuu ya CHADEMA mikocheni kujadili masuala yetu vijana na muelekeo mgeni rasmi atakua John Heche pamoja na safu nzima ya Official Bavicha Taifa . Don't plan to miss you gonna miss vibe.

Kongamano kongamano vijana wote wa vyuo vikuu vyuo vya kati na secondary tunakutana tarehe 24/5 makao makuu ya CHADEMA mikocheni kujadili masuala yetu vijana na muelekeo mgeni rasmi atakua <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> pamoja na safu nzima ya <a href="/bavicha_taifa/">Official Bavicha Taifa</a> .
Don't plan to miss you gonna miss vibe.