
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
@olengurumwao
Human Rights Lawyer, Researcher and Policy Analyst- CEO THRDC. Regional Director East African Human Rights Institute. Defending human rights is not a crime
ID: 518315148
http://www.thrdc.tz 08-03-2012 08:35:22
12,12K Tweet
35,35K Followers
8,8K Following










Olaigwanani-Olengurumwa, Adv Wanaowatuma na wanaokubali kutumwa kufanya huu uhuni,hawatakaa wawe na amani si wao wala familia zao. Ukisoma Waamuzi sura ya 9,utaona Abimeleck akivyoshirikiana na wajomba zake akauwa ndugu zake ili tu atawale. Mwishoni,yeye na wajomba zake waligeukana. Watalipia tu,ogopa damu.



