KIFO kinatupa Funzo Duniani Sisi Wote ni Wapitaji hakuna maana ya Kuchukiana na Kulipiziana Visasi...
zaidi ya Yote Ni kuishi Maisha yenye Upendo ila Tuishi Tukijua Sisi Wote Tutakufa Tu.
Zamani mume alikuwa akichelewa kurudi basi mke atamsubiri mpaka arudi hata kula hata weza lakini hawa wa siku hizi sasa wanakula na kumaliza chakula chote na unamkuta kalala bila wasi wasi.
Nyoka hubadili ngozi ila sumu hubaki ile ile, vivyo hivyo baadhi ya watu hujifanya kubadilika ila tabia zao hubaki pale pale. Kuwa makini, usikubali kuumizwa mara mbili!
Lydia alituma nude kwa kijana, after things went wrong kijana akathreaten kuipost kwa TL....Lydia the mastermind akasema we hunijui vizuri kama mi nmechizi kabla yako
Akapost mwenyewe hako kanude😂🤝
Kutafuta hela ukiwa na hela ni tofauti kabisaaa kutafuta hela ukiwa huna hela, kuna muda lazima utumie pesa kupata pesa
Ukiwa huna hela hata ukijaribu kuanzisha kabiashara unashangaa tu kanakufa😭😆🙌