Flora Nducha (@oresia) 's Twitter Profile
Flora Nducha

@oresia

Chief-Editor UN News Kiswahili

ID: 226759686

linkhttp://news.un.org/sw calendar_today15-12-2010 00:39:20

2,2K Tweet

1,1K Followers

473 Following

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Hali ni mbaya zaidi kwa watoto wa Gaza! ๐Ÿšจimesema UNICEF kwani zaidi ya watoto milioni moja wako hatarini kwa sababu ya kuzuiwa misaada ya kibinadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja! Upungufu wa chakula, maji safi na matibabu unaleta hatari ya vifo na magonjwa news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Hali ni mbaya zaidi kwa watoto wa Gaza! ๐Ÿšจimesema UNICEF kwani zaidi ya watoto milioni moja wako hatarini kwa sababu ya kuzuiwa misaada ya kibinadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja! Upungufu wa chakula, maji safi na matibabu unaleta hatari ya vifo na magonjwa
news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Katika kuunga mkono mapambano ya ugonjwa kipindupindu nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani ofisi yake ya Kenya WHO Kenya limetoa vifaa muhimu kwa wizara ya afya Ministry of Health ikiwemo dawa na vifaa tiba.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva, Uswisi, msemaji wa UNICEF James Elder amenukuu mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13 huko #DRC aliyebakwa na kupata ujauzito. news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva, Uswisi, msemaji wa UNICEF James Elder amenukuu mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13 huko #DRC aliyebakwa na kupata ujauzito.

news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Afisa wa UNnchini #Sudan Nkweta-Salami ametoa wito wa msaada zaidi kwa wananchi huku vita vya kikatili kati ya majeshi hasimu vikitimiza miaka miwili. -Mahitaji ya kibinadamu yanaongezeka -Kuna hatari ya kuenea kwa janga la njaa Ufadhili unazidi kupungua. news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya kimataifa ya ugonjwa wa Chagas, je wajua ๐ŸŒฟ Ugonjwa wa Chagas ni nini? kwa mujibu wa World Health Organization (WHO) ๐ŸฆŸ Husambazwa vipi? ๐Ÿฉบ Dalili zake ni zipi? ๐Ÿ’Š Je, unatibika? ๐Ÿ“Œ Na kwa nini ugonjwa huu ni hatari? Soma zaidi ๐Ÿ‘‡ news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐ž๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐๐š๐ฌ๐š๐ค๐š ๐˜’๐˜ข๐˜ต๐˜ช๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜œ๐˜ฎ๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜”๐˜ข๐˜ต๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข Antรณnio Guterres ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ข ๐˜ฐ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ช ๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜ฅ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ฆ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ด๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข #Easter

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans โ€œAlikuwa sauti ya kipekee kwa ajili ya amani, utu wa mwanadamu na haki ya kijamii. Anaacha urithi wa imani, huduma na huruma kwa wote hasa wale waliotengwa au waliofungwa na machungu ya migogoro."Antรณnio Guterres

United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans

โ€œAlikuwa sauti ya kipekee kwa ajili ya amani, utu wa mwanadamu na haki ya kijamii. Anaacha urithi wa imani, huduma na huruma kwa wote hasa wale waliotengwa au waliofungwa na machungu ya migogoro."Antรณnio Guterres
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans Katika ziara yake mwaka 2015 kwenye makao makuu ya UN๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ โ€œPapa Francis alielewa kuwa kulinda nyumba yetu ya pamoja (Dunia) ni jukumu la maadili ya kina na ni wajibu wa kila mtu.โ€ Antรณnio Guterres Katibu Mkuu wa UN

United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans

Katika ziara yake mwaka 2015 kwenye makao makuu ya UN๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

โ€œPapa Francis alielewa kuwa kulinda nyumba yetu ya pamoja (Dunia) ni jukumu la maadili ya kina na ni wajibu wa kila mtu.โ€ Antรณnio Guterres Katibu Mkuu wa UN
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

.United Nations yaomboleza ๐—ž๐—ถ๐—ณ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€ Apostolica Sedes Vacans Papa Francis na Umoja wa Mataifa walikuwa chanda na pete Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 21 katika makazi yake huko Vatican, Roma nchini Italia, akiwa na umri wa miaka 88.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa #Gaza na harakati za utekelezaji wa Azimio la UN kuhusu haki za watu wa asili. Makala inatoka makao makuu ya Umoja wa Mataifa na mashinani ni kutoka #Burundi. Msomaji ni Flora Nducha Flora Nducha news.un.org/sw/audio/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Mwakilishi wa UN Women Tanzania Hodan Addou amefanya mazungumzo na Balozi Mikami Yoichi Yoichi Mikami kuhusu uendelezaji wa elimu ya sekondari kwa wasichana, na kutumia sanaa na utamaduni katika kupinga vitendo viovu ili kuwa na jamii yenye usawa nchini #Tanzania. UN Women

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Chanzo muhimu cha chakula huko #Gaza chafikia ukomo huku misaada ikishindwa kuwafikia Wapalestina milioni 2.2 wenye uhitaji limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani World Food Programme Kuendelea kufungwa kwa mipaka kunazusha taharuki. news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Bendera mpya ya #Syria yapandishwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa #NewYork ๐Ÿ“ŒTofauti ni idadi ya โญ ๐Ÿ“ŒBendera mpya ina nyota โญโญโญhuku ile ya zamani ilikuwa na nyota โญโญ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ŒJe wafahamu Hakibunifu ni nini? ๐Ÿ“ŒZipi faida za hakibunifu ๐Ÿ“ŒNa kwa nini ni muhimu hasa kwa wasanii? Soma zaidi hapa: ๐Ÿ‘‡betacms.news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

๐Ÿ“ŒJe wafahamu Hakibunifu ni nini?
๐Ÿ“ŒZipi faida za hakibunifu
๐Ÿ“ŒNa kwa nini ni muhimu hasa kwa wasanii?
Soma zaidi hapa: ๐Ÿ‘‡betacms.news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ HABARI NJEMA: Uganda yatangaza rasmi kumalizika mlipuko wa Ebola! โœ… Visa 14 viliripotiwa โœ… Watu 10 walipona โœ… Hatua za haraka na mshikamano wa kitaifa ume okoa maisha WHO yasifu uongozi wa Uganda. ๐Ÿ‘ Asanteni mashujaa wa afya! #Ebola #Uganda World Health Organization (WHO) news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ HABARI NJEMA: Uganda yatangaza rasmi kumalizika mlipuko wa Ebola!
โœ… Visa 14 viliripotiwa
โœ… Watu 10 walipona
โœ… Hatua za haraka na mshikamano wa kitaifa ume okoa maisha
WHO yasifu uongozi wa Uganda.
๐Ÿ‘ Asanteni mashujaa wa afya!
#Ebola #Uganda World Health Organization (WHO)  news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Kupitia taarifa iliyotolewa leo Jumatano huko #Geneva, Uswisi na ofisi yake, Volker Tรผrk amesisitiza kuwa upanuzi wa mashambulizi ya #Israeli huko #Gaza bila shaka utasababisha ukimbizi zaidi, vifo, majeruhi na kuharibu miundombinu michache iliyosalia. news.un.org/sw/story/2025/โ€ฆ

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Leo jaridani tunakuletea kiongozi wa kijamii kutoka Jamii ya wafugaji wa Kimaasai mkoani Morogoro nchini Tanzania atazungumzia ushirikishwaji wao kwenye masuala mbalimbali. Pia utajifunza kiswahili kutoka Bakiza Zanzibar Msomaji ni Leah Mushi ๐•ƒ๐•–๐•’๐•™ ๐•„๐•ฆ๐•ค๐•™๐•š news.un.org/sw/audio/2025/โ€ฆ