
Paul Nabiswa
@paulnabiswa
Journalist, Author, Poet, Mkenya Mzalendo! These are my own views, retweets are not endorsements
ID: 344763236
29-07-2011 15:08:13
657 Tweet
10,10K Followers
1,1K Following




Kama KMTC wanapewa degree hata sisi watu wa KIMC tunakujia zetu isipokuwa Tuju, alisoma huko akawa waziri wetu na akatuacha hivyo. Ona CS @s_nakhumicha ameenda MoH, KMTC imeonekaniwa. Watu wa KIMC Linus Kaikai, Emmanuel Juma Ruth Nesoba mmenyamaza?

Hallo Children, Read with us, New Friends, The new adventure, Neighbours was our CBC. Mikono juu watu wa Mr. and Mrs. Kamau, Tom, Mary and Peter. Cc Lindah Oguttu aka Mtu ya mjengo and Janet Chapia



Eng Kevin Kiumbe @Biancawamu2 That's Reagan, but a point well made.






Mirathi ya Siasa is back every Friday 8:00PM at KTN News. Cc Nape Moses Nnauye James Orengo Pauline Njoroge Lindah Oguttu aka Mtu ya mjengo Lord Abraham Mutai Millie Mabona Mijungu Dr. Ezekiel Mutua, MBS Aaron Cheruiyot Babu Owino Kizito Namulanda Zubeidah Kananu Victor Bwire OGW

Today at KTN News 08:30PM we have the story of the former Prime Minister for Tanzania the late Edward Lowassa cc Anna Tibaijuka Nape Moses Nnauye Dr. Ezekiel Mutua, MBS Gabriel Oguda Lord Abraham Mutai Lindah Oguttu aka Mtu ya mjengo ALEX MWAKIDEU Millie Mabona James Orengo Kizito Namulanda Pauline Njoroge Herman Manyora





Je wafahamu James Orengo amekuwa katika mapambano ya siasa za Kenya kwa zaidi ya miaka 40? Katika makala ya Mikoba ya Demokrasia tunaangazia safari Orengo katika NTV Jumatatu 7:30PM cc Dr. Ezekiel Mutua, MBS Millie Mabona Herman Manyora Lord Abraham Mutai Edward Mwasi Lofty Matambo