Pharmacy Council Tanzania (@pharm_council) 's Twitter Profile
Pharmacy Council Tanzania

@pharm_council

We are a statutory body established under the Pharmacy Act, Cap 311 to regulate the pharmacy professionals practice and related matters.

ID: 1121116154272059392

linkhttp://www.pc.go.tz calendar_today24-04-2019 18:18:15

288 Tweet

2,2K Followers

23 Following

Pharmacy Council Tanzania (@pharm_council) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii imefanyika katika Mkoa wa Pwani (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo)

Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha  umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. 

Kampeni hii imefanyika katika Mkoa wa Pwani (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo)
Pharmacy Council Tanzania (@pharm_council) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. “Nimeelimika na nitazingatia Matumizi Sahihi ya Dawa”

Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
“Nimeelimika na nitazingatia Matumizi Sahihi ya Dawa”
Pharmacy Council Tanzania (@pharm_council) 's Twitter Profile Photo

Katika muendelezo wa zoezi la uelimishaji umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza la Famasi pamoja na uhamasishaji jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa,Baraza kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya tarehe 07 Mei, 2025 wamefika katika Mkoa wa Singida

Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara leo tarehe 08 Mei, 2025 wametembelewa na Baraza la Famasi pamoja na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya. Ufahamu kuhusu Baraza la Famasi na elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa ulitolewa kwa wananchi

Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na Kampeni yake ya uelimishaji Umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza la Famasi pamoja na uhamasishaji wa jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. #Nimeelimika#

Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na Kampeni yake ya uelimishaji Umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza la Famasi pamoja na uhamasishaji wa jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
#Nimeelimika#
Pharmacy Council Tanzania (@pharm_council) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Famasi limeendelea na Kampeni ya kuelimisha Umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza na kuhamasisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa Katika Mkoa wa Tanga. #Nimeelimika# "Nimeelimika na nitazingatia Matumizi Sahihi ya Dawa"

Baraza la Famasi limeendelea na Kampeni ya kuelimisha Umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza na kuhamasisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa Katika Mkoa wa Tanga. 

#Nimeelimika#

"Nimeelimika na nitazingatia Matumizi Sahihi ya Dawa"