
PichaPopote
@pichapopote
Sharing the beauty of this world and stories through Images,Tag us or use our hashtag #pichapopote we will RT.
ID: 971331107110182912
07-03-2018 10:25:57
8,8K Tweet
2,2K Followers
992 Following

Gaudencia Daniel (18) aliomba kuongea kwenye mkutano wa mazingira katika Kijiji cha Nyamirende, Geita, alipopewa akasema “Mhe, ninahitaji kujua kusoma na kuandika, nimechelewa kusoma nisaidie” huku machozi yakimtoka akamkumbatia. January Makamba:Hujachelewa tutakusaidia. 📸 @Nsamila


Happy Birthday my dearest brother January Makamba - May the new year usher new wisdom and blessings your way. May our Almighty continue to guide, protect and bless you abundantly. I celebrate you today and always ! Happy birthday January Makamba


"Kipindi naingia wizarani mwaka Jana mwezi wa tisa 2021 kulikuwa na Maombi ya Umeme 120,000 hii ilitufanya Tuweke mipango thabiti kukabiliana na Maombi hayo Mpaka sasa ni Maombi 30,000 tu ndo yamebaki hii ni kipindi Cha miezi Kumi tu nikiwa wizarani" Waziri January Makamba akiwa Geita


#PichaYaSiku : January Makamba akifurahia jambo na mwananchi huko Geita. Msaidizi huyo wa Rais Samia Suluhu kwenye sekta ya nishati, anafanya ziara ya siku 21 kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania. #MamaAnafanikisha cc: Imani Nsamila



Tunaendelea kuvuka mito na milima aisee tuko #makete Sasa January Makamba kweli hizi siku 21 umezitendea haki bro


Happiest of birthdays to my oga at the top, my brother January Makamba may The Almighty continue to protect you, guide you and bless you abundantly! Thank you for all that you have been and continue to be. We are extremely grateful to you and love you very much. 🎈🎊⚡️










This weekend in Köln 🇩🇪🤩🌏 “We’re thrilled to welcome Imani Nsamila Imani Nsamila photographer and videographer from #Tanzania, as our special guest. His photo exhibition entitled Climate Change in East Africa: Struggle, Resilience, Solutions will be on display at the


Kazi nzuri Imani Nsamila 👏👏