PITHONIโœ๏ธ (@pithoni1) 's Twitter Profile
PITHONIโœ๏ธ

@pithoni1

Set worries aside. God is greater.

ID: 1851874746335391744

calendar_today31-10-2024 06:32:23

5,5K Tweet

925 Followers

730 Following

Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati wa watanzania kuacha mihemko na kufuata mkumbo wa hawa wanaharakati uchwara ambao wengi wao ni vibaraka wa wazungu

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Mo Dewji itakuwa ametoa pesa ndefu sana kuhonga marefa, haiwezekani Faulo harafu refa anaweka kati eti goali๐Ÿšฎ

MASTAA (@mastaa01) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia ameandika historia kwa vitendo,machinga sasa siyo kusahaulika tena, bali ni sehemu ya maendeleo ya kweli. Sauti yao imepata msikilizaji, na sasa wanaitikia kwa shukrani na mshikamano. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Mama Samia ameandika historia kwa vitendo,machinga sasa siyo kusahaulika tena, bali ni sehemu ya maendeleo ya kweli. Sauti yao imepata msikilizaji, na sasa wanaitikia kwa shukrani na mshikamano.
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
HER (@heroinelincoln) 's Twitter Profile Photo

MASTAA Adui Wa Yanga ๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Uongozi wa Mama Samia umeleta heshima na thamani kwa machinga nchini! Hili ni jambo la kihistoria kuwaona sasa wakisimama kueneza mema ya uongozi wake ni ishara tosha ya mabadiliko ya kweli. #kaziNaUtu #TunasongaMbele