Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile
Plascon Tanzania

@plascontz

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Kansai Plascon Tanzania. Tunakuletea rangi zenye ubora wa hali ya juu.
#PakaRangiKwaUfahari
#ColourYourWorld.

ID: 896331676678279168

linkhttp://www.plascon.co.tz calendar_today12-08-2017 11:24:59

106 Tweet

870 Followers

7 Following

Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Iwe ni kwa ajili ya jengo lako jipya au la zamani, Plascon tuna familia ya rangi mbalimbali ili kufanikisha lengo lako la kupata muonekano unaokupa furaha na kuamsha hisia za ufahari. #Plascon #ColourYourWorld

Plascon (@plasconsa) 's Twitter Profile Photo

Our November colour of the month finds the perfect balance between energy and stability. We present Lavender Veil!… bit.ly/2zcWYSs

Our November colour of the month finds the perfect balance between energy and stability. We present Lavender Veil!… bit.ly/2zcWYSs
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

App ya Plascon Visualiser itakupa mapendekezo mazuri ya aina za rangi unazoweza kutumia katika chumba au nyumba yako. App hii inapatikana bure hapa -> Google PlayStore goo.gl/drZozm | AppStore (iOS) goo.gl/TktGwY #Plascon #ColourYourWorld #ElimikaWikiendi

App ya Plascon Visualiser itakupa mapendekezo mazuri ya aina za rangi unazoweza kutumia katika chumba au nyumba yako.

App hii inapatikana bure hapa -> Google PlayStore goo.gl/drZozm | AppStore (iOS) goo.gl/TktGwY 
#Plascon #ColourYourWorld #ElimikaWikiendi
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Je unafahamu ni rangi gani zinabamba zaidi kwa sasa? Fahamu mengi kupitia app ya Plascon Visualiser. App hii inapatikana bure hapa -> Google PlayStore goo.gl/drZozm | AppStore (iOS) goo.gl/TktGwY #Plascon #ColourYourWorld

Je unafahamu ni rangi gani zinabamba zaidi kwa sasa? Fahamu mengi kupitia app ya Plascon Visualiser.
App hii inapatikana bure hapa -> Google PlayStore goo.gl/drZozm | AppStore (iOS) goo.gl/TktGwY 
#Plascon #ColourYourWorld
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Tuna rangi za aina mbalimbali zitakazopendezesha na kukamilisha matarajio yako ya muonekano unaoupenda. #Plascon #ColourYourWorld

Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

WanaTOT je mnazifahamu rangi zetu za VINYL SILK EMULSION? Rangi hizi zinafaa zaidi kwa matumizi katika maeneo yanayotumiwa zaidi na watu - hii ni kama vile vyooni, jikoni, kwenye korido, na varanda. plascon.co.tz #Plascon #ColourYourWorld

Rangi ya VINYL SILK EMULSION inaweza pakwa juu ya plasta, mawe au mbao, hakikisha inakorogwa vizuri kabla ya kutumika. #Plascon #ColourYourWorld

Rangi yetu ya VINYL SILK EMULSION inafaa zaidi kwa matumizi katika maeneo yanayotumiwa zaidi na watu - hii ni kama vile vyooni, jikoni, kwenye korido, na varanda. #Plascon #ColourYourWorld

Rangi yetu ya VINYL SILK EMULSION inafaa zaidi kwa matumizi katika maeneo yanayotumiwa zaidi na watu - hii ni kama vile vyooni, jikoni, kwenye korido, na varanda. #Plascon #ColourYourWorld
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Iwe ni kwa ajili ya jengo lako jipya au la zamani, Plascon tuna familia ya rangi mbalimbali ili kufanikisha lengo lako la kupata muonekano unaokupa furaha na kuamsha hisia za ufahari. #Plascon #ColourYourWorld

Iwe ni kwa ajili ya jengo lako jipya au la zamani, Plascon tuna familia ya rangi mbalimbali ili kufanikisha lengo lako la kupata muonekano unaokupa furaha na kuamsha hisia za ufahari. #Plascon #ColourYourWorld
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Kwa ajili ya jengo lako jipya au la zamani, Plascon tuna familia ya rangi mbalimbali ili kufanikisha lengo lako la kupata muonekano unaokupa furaha na kuamsha hisia za ufahari. #Plascon #ColourYourWorld

Kuna rangi ambazo zinasaidia zaidi kutunza majengo katika maeneo yenye hali ya hewa ya aina flani. Rangi ya Plascon WeatherGuard EXTREME itatunza hali ya jengo jipya au la zamani. Kwa maeneo ya Pwani hii rangi ni bora zaidi. #Plascon #ColourYourWorld

Kupitia app ya Plascon Visualiser utaweza kujaribu na kuona muonekano wa kuta za chumba au nyumba yako kama ukipaka rangi yeyote uipendayo. Inapatikana bure hapa -> Google PlayStore goo.gl/drZozm | AppStore (iOS) goo.gl/TktGwY #Plascon #ColourYourWorld

Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wengi wa timu ya Manchester United wanavutiwa na rangi za jezi ya timu yao, Plascon tunakamilisha furaha yako kwa kukupa nguvu ya uchaguzi wa rangi uipendayo. Tuambie je wewe unapendezwa kwa kiasi gani na rangi ya jezi ya timu yako? #ColourYourWorld

Je umeona rangi flani ila haufahamu jina lake la kitaalamu? Piga picha, na kisha upload picha yoyote hapa - swatchit.plascon.com . ..na utapata jina na ‘code’ ya rangi husika. Tuna rangi za aina mbalimbali ili kufanikisha hitaji lako. #Plascon #ColourYourWorld

Je umeona rangi flani ila haufahamu jina lake la kitaalamu? Piga picha, na kisha upload picha yoyote hapa - swatchit.plascon.com . ..na utapata jina na ‘code’ ya rangi husika. 

Tuna rangi za aina mbalimbali ili kufanikisha hitaji lako. #Plascon #ColourYourWorld
Plascon Tanzania (@plascontz) 's Twitter Profile Photo

Hatupaki rangi ilimradi ni rangi, bali wengi huwa tunawaza ‘je, rangi ninayoichagua itanifanya nijisikie ufahari?’. Je ni kitu gani kinachochangia uamuzi wako juu ya aina ya rangi ya kupaka maeneo tofauti tofauti kama vile jikoni, sebleni na chumbani? #Plascon #ColourYourWorld

Hatupaki rangi ilimradi ni rangi, bali wengi huwa tunawaza ‘je, rangi ninayoichagua itanifanya nijisikie ufahari?’.

Je ni kitu gani kinachochangia uamuzi wako juu ya aina ya rangi ya kupaka maeneo tofauti tofauti kama vile jikoni, sebleni na chumbani?
#Plascon #ColourYourWorld