
TEAM Samia ๐น๐ฟ
@presidentsamia
๐น๐ฟ๐ฟโ๏ธPresident Samia Fansโ๏ธ๐ฟ๐น๐ฟ ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐งBuilding a Better Tanzania.๐ง ๐จ๐ฉ
ID: 1686972698805624833
03-08-2023 05:30:38
654 Tweet
72 Followers
112 Following

Raisi Samia ahudhuria sherehe ya harusi .... Mama safi! #TufurahiNaSamia Samia Suluhu ikulu_Tanzania

Msimamo Wa Serikali - Ngorongoro visitngorongoro #Ngorongoro

#TunaendeleaNaMama 2024/25! Chama Cha Mapinduzi CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar



Vipingamizi vya Kisiasa: โBaadhi ya wanasiasa wanatamani kukwamisha miradi hiiโฆโ - Aeleza Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa, Waziri Ofisi ya Raisi - TAMISEMI #VipingamiziVyaKisiasa Chama Cha Mapinduzi CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar

Mahusiano baina ya Tanzania na China ni ya manufaa kwa pande zote. Rais Samia, Balozi Xia Huang, na Waziri January wanaendelea kuimarisha msingi imara wa ushirikiano wa kihistoria. ๐น๐ฟ๐จ๐ณ Chama Cha Mapinduzi CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar #DiplomasiaYaSamia January Makamba


Leo, Disemba 17, 2023, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, ameanzisha ziara ya ukaguzi wa miradi ya Regrow/Utalii Kusini katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi. #Mikumi Angellah Kairuki


Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, akimwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameongoza hafla Kigamboni ya kutoa vifaa kwa makundi mbalimbali (wazee, wanawake, vijana nk). Kaulimbiu "Kigamboni Salama na Mama Samia." #MamaYukoKazini #KaziIendelee Chama Cha Mapinduzi CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar




Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki, amezindua Mkakati wa Utekelezaji wa Sera ya Wanyamapori 2023 - 2033 na Mpango wa Usimamizi wa Tembo Tanzania 2023 - 2033. Mkakati huo una lengo la kukabiliana na changamoto za uhifadhi wa wanyamapori.


Raisi Samia ameahidi kwamba ifikapo katikati ya mwaka 2024, malalamiko kuhusu umeme yatapungua.Hii ni kutokana na uzinduzi wa vinu viwili kwenye bwawa la Julius Nyerere, hivyo kutoa uhakika wa umeme wa kutosha nchini. Pongezi kwa Raisi Samia Suluhu kwa kusimamia mradi wa Nyerere!



Bilioni 4.7 za Raisi Samia Suluhu Zilivyobadili Sekta ya Afya Kigoma. #KaziIendelee Rose Robert Manumba


Raisi Samia Mubashara Na Wakuu wa shule za sekondari nchini. #MamaYukoKazini #KaziIendelee Chama Cha Mapinduzi CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar



Dear President Samia Suluhu , Your steadfast leadership and unwavering commitment to Tanzania are truly inspiring. In the face of challenges, you've guided with grace, strength, and unity. Your efforts bring hope to many. Keep leading with courage. Tanzania stands with you.