PROFESA FUTIBOLI (@profesafootball) 's Twitter Profile
PROFESA FUTIBOLI

@profesafootball

Football//Basketball//Music//Comedy//Health issues//(ENTERTAINMENT). ARSENAL(THE PRIDE OF LONDON).

ID: 1444718076998606851

calendar_today03-10-2021 17:37:23

123,123K Tweet

16,16K Followers

9,9K Following

MasterplanπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@master_plan7) 's Twitter Profile Photo

Katika Kitu Ninachowashangaa Wabena Ishu ya Kujengea Makaburi ya Ndugu zao Wanaichukulia Serious Sana Wanachinja mpaka Ng'ombe Wanavaa Nguo Sale Yani Kwao Ni Sherehe Kubwa sana.πŸ€”

MJUKUU (@wideedson) 's Twitter Profile Photo

Hizi taarifa za Singida black stars ni za kweli!! et ukimtaka Jonathan Sowah njoo na Bilion 2.6 !!? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”

KinlopπŸ¦… (@kinlop_) 's Twitter Profile Photo

Top 10 Matajiri bongo waliowazidi Messi na Ronaldo 1 Mo dewji thamani ya $2B 2 Rostam Aziz $750M 3 Said salim Bakhresa $600M 4. Ally Awadh (Lake group) $600M Ukiunganisha utajiri wa Messi na Ronaldo bado haufikii utajiri wa Mo dewji. kwnn? KinlopπŸ¦… πŸ§΅πŸ‘‡πŸ½

Top 10 Matajiri bongo waliowazidi Messi na Ronaldo 

1 Mo dewji thamani ya $2B

2 Rostam Aziz $750M

3 Said salim Bakhresa $600M

4. Ally Awadh (Lake group) $600M

Ukiunganisha utajiri wa Messi na Ronaldo bado haufikii utajiri wa Mo dewji. kwnn?

<a href="/kinlop_/">KinlopπŸ¦…</a> πŸ§΅πŸ‘‡πŸ½
𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

#Ad ⬇️ Kama Matumizi ya Bando ni Makubwa Leo nimekusogezea Huduma zifuatazo Ambazo zitapunguza Gharama ya Matumizi yako kwa 50% 1. Yas Kinara Plus SME *148*44# 2. Vodacom SME *150*00# 3. Yas post paid bundles *150*01# π—¨π—§π—”π—’π—žπ—’π—” π—šπ—›π—”π—₯𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗑𝗗𝗒 π—žπ—ͺ𝗔

#Ad   ⬇️

Kama Matumizi ya Bando ni Makubwa Leo nimekusogezea Huduma zifuatazo Ambazo zitapunguza Gharama ya Matumizi yako kwa 50%

1. Yas Kinara Plus SME *148*44#

2. Vodacom SME  *150*00#

3. Yas post paid bundles *150*01#

π—¨π—§π—”π—’π—žπ—’π—” π—šπ—›π—”π—₯𝗔𝗠𝗔  𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗑𝗗𝗒 π—žπ—ͺ𝗔
Classickizito (@classickizito) 's Twitter Profile Photo

Je wajua...?Takribani faru 586 waliuawa kwa ujangili barani Afrika mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4 kutoka mwaka 2022. Leo hii, faru mmoja huuawa kila baada ya saa 15. 🧡 (1/2)πŸ‘‡ #ElimikaWikiendi

Je wajua...?Takribani faru 586 waliuawa kwa ujangili barani Afrika mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4 kutoka mwaka 2022.

Leo hii, faru mmoja huuawa kila baada ya saa 15. 🧡 (1/2)πŸ‘‡

#ElimikaWikiendi