
Rachel Kimambo
@rachelkimambo
National Secretary for Finance and Resources| Secretary of The Board of Trustees @ACTWazalendo
ID: 1400015021271404547
02-06-2021 09:03:40
1,1K Tweet
869 Followers
174 Following

Tunapambana tukishiriki Tunashiriki tukipambana! ACTWazalendo #OperesheniLindaDemokrasia



Not just a political party, neither a political movement. IT IS A COMMUNITY ACTWazalendo

HISTORIA IMEANDIKWA LEO JUNI 5, 2025. Mpambanaji, Msimamia haki, Anayejali Maslahi ya Wote, Anayetanguliza mbele Utu na si Kitu. Leo amejiunga na chama chenye kujali na kusimamia #TaifaLaWote kwa #MaslahiYaWote ACTWazalendo


VIDEO: Hivi ndivyo viongozi na makada wa ACT Wazalendo ACTWazalendo wakiongozwa na viongozi waaandamizi Dorothy Semu Dorothy Semu (Kiongozi wa Chama), Isihaka Mchinjita Isihaka Mchinjita (Makamu Mwenyekiti Bara), Ado Shaibu Ado Shaibu (Katibu Mkuu) na wengineo walivyompokea na


Ni furaha kubwa kwetu leo. Tunakukariibisha Sheikh Ponda Issa Ponda ndani ya ACTWazalendo. Ni heshima kubwa kuwa na mwanaharakati mashuhuri aliyejitolea kwa muda mrefu kusimamia haki, uhuru na usawa. Karibu nyumbani Sheikh. #ACTWazalendo #KaribuSheikhPonda



"Taifa letu linastahili kuongozwa kwa misingi ya Sheria, ambapo kila mtu bila kujali cheo chake, dini yake, au kabila lake, yuko chini ya sheria." Sheikh Ponda Shekh Ponda Issa Ponda Mwanachama ACTWazalendo 05 Juni, 2015.


"Ndugu zangu mimi naamini amani ya kweli haiwezi kustawi pale ambapo kura zinaibiwa, sauti za wananchi zinakandamizwa na sheria zinatumika kuwanyamazisha wale wanaosema ukweli." Shekh Ponda Issa Ponda Wanachama ACTWazalendo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #OperesheniLindaDemokrasia


"Ndugu zangu, uzalendo unatutaka tupinge mifumo kandamizi na isiyowajibika na kuhakikisha kuwa sheria zinalinda haki mbalimbali za wananchi." Shekh Ponda Issa Ponda Mwanachama wa ACTWazalendo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #OperesheniLindaDemokrasia


"Mimi naamini amani ya kweli haiwezi kustawi pale ambapo kura zinaibiwa, sauti za wananchi zinakandamizwa, na sheria zinatumika kuwanyamazisha wale wanaosema ukweli." Mwanachama wa ACTWazalendo Sheikh Ponda Issa Ponda #TaifaLaWote #MaslahiYaWote


Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo ACTWazalendo Ado Shaibu Ado Shaibu amesema kuwa hawapingi harakati za CHADEMA kwakuwa Ndio njia waliyochagua. #hapaninyumbani #kasrilakikeke #crowndigital





