Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile
Radio 47

@radio47_kenya

Stesheni inayovuma kwa kasi zaidi.... Na Bado! ☎️ +254793047047 or WhatsApp 📱+254719739487

ID: 1561617605626060802

linkhttps://radio47.fm calendar_today22-08-2022 07:34:02

84,84K Tweet

26,26K Followers

106 Following

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Deputy Governor, Muranga County, Hon. Stephene Munania aeleza jinsi wadi za Muranga hupata mgao sawa. #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Serikali yetu ni ya ushirikiano - Deputy Governor, Murang'a County, Hon. Stephene Munania. #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya amekamatwa katika eneo la Kibaoni, Kilifi Kaskazini akiwa na sacheti 11 za dawa aina ya heroin pamoja na shilingi mia nane zinazoaminika zilitokana na biashara hiyo haramu. #HapaNdipo

Mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya amekamatwa katika eneo la Kibaoni, Kilifi Kaskazini akiwa na sacheti 11 za dawa aina ya heroin pamoja na shilingi mia nane zinazoaminika zilitokana na biashara hiyo haramu.

#HapaNdipo
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Deputy Governor of Murang’a County, Hon. Stephene Munania, explains the policies they use to curb corruption in the county. #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Kenya among first African countries to roll out injectable HIV prevention drug, lenacapavir news.radio47.fm/2025/07/16/ken…

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Mahakama imemwagiza Cleophas Malala alipe Chama cha United Democratic Alliance (UDA) na mwenyekiti wa chama hicho Cecily Mbarire KSh 305,000 kama gharama za kesi, baada ya kushindwa katika kesi ya kupinga kuondolewa kwake katika wadhfa wa Katibu Mkuu. #HapaNdipo

Mahakama imemwagiza Cleophas Malala alipe Chama cha United Democratic Alliance (UDA) na mwenyekiti wa chama hicho Cecily Mbarire KSh 305,000 kama gharama za kesi, baada ya kushindwa katika kesi ya kupinga kuondolewa kwake katika wadhfa wa Katibu Mkuu.

#HapaNdipo
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa kijiji cha Booster Uhuru, Kaunti ya Nyandarua, wameandamana kupinga ujenzi duni wa barabara ya kilomita 2 katike eneo hilo, wakidai mwanakandarasi kanatumia vifaa visivyoafikia viwango vinavyohitajika. #HapaNdipo

Wakazi wa kijiji cha Booster Uhuru, Kaunti ya Nyandarua, wameandamana kupinga ujenzi duni wa barabara ya kilomita 2 katike eneo hilo, wakidai mwanakandarasi kanatumia vifaa visivyoafikia viwango vinavyohitajika.

#HapaNdipo