Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile
Radio Jambo

@radiojambokenya

Ongea usikike! 🇰🇪 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | 📻

ID: 2515401066

linkhttps://radiojambo.co.ke calendar_today22-05-2014 13:13:01

450,450K Tweet

255,255K Followers

316 Following

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Ushawahi pewa Zawadi na mtu alafu ikageuka na kuwa tangazo la kila mkutano ??? #StoryZaGhost #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Fire Mama: "Huyu mrembo ajipatie shughuli. Asikubali haraka kuwa mke wa pili. Akanyage kubwa kubwa atafute baba mtoto..." #Patanisho #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Violet ataka kuendelea kuongea na mpenzi wake wa hapo awali ingawa jamaa ashaoa . Jamaa asema aweza mwitikia violet kama mke wa pili akakubali #Patanisho #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

“Wasanii wote kutoka Mlima Kenya walioenda kumtembelea naibu wa rais Kithure Kindiki nyumbani kwake Karen lazima waombe msamaha ama tuache kusikiza miziki yao...” Atishia naibu rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua #Bustani #KituoChaWakenya

“Wasanii wote kutoka Mlima Kenya walioenda kumtembelea naibu wa rais Kithure Kindiki nyumbani kwake Karen lazima waombe msamaha ama tuache kusikiza miziki yao...” Atishia naibu rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua

#Bustani #KituoChaWakenya
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Ezekiel: "Ndoa ya kuwekwa na mwanamke hiyo ndio ndoa tamu. Mimi nikipata yule ananiambia Ezekiel kuja hapa, hapo ndio nitaenda. Hata kumvalisha, kumuosha nitamuosha...." #Bustani #KituoChaWakenya

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Ni mchezaji yupi miongoni mwa hawa waliojishindia viatu vya dhahabu msimu huu ambaye ungependa awe wa kwanza kabisa kwa watakaosajiliwe na timu unayoshabikia msimu ujao? 1. Kylian Mbappé (Real Madrid CF) 2. Mohamed Salah (Liverpool) 3. Viktor Gyökeres (Sporting CP) #Bustani

Ni mchezaji yupi miongoni mwa hawa waliojishindia viatu vya dhahabu msimu huu ambaye ungependa awe wa kwanza kabisa kwa watakaosajiliwe na timu unayoshabikia msimu ujao?

1. Kylian Mbappé (Real Madrid CF)
2. Mohamed Salah (Liverpool)
3. Viktor Gyökeres (Sporting CP)

#Bustani
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Imetinguka officially ndani ya Temple ya Warasta, #MbusiiNaLionTekeTeke. Hakuna mbrrrrcha🥳🥳🥳.Unategea experience ukiwa wapi? #MbusiiNaLionTekeTeke #ChapaWaxMonday #KituoChaWakenya

Imetinguka officially ndani ya Temple ya Warasta, #MbusiiNaLionTekeTeke. Hakuna mbrrrrcha🥳🥳🥳.Unategea experience ukiwa wapi?
#MbusiiNaLionTekeTeke #ChapaWaxMonday #KituoChaWakenya
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Mada: “Wasichana waende waolewe, sio kungoja mali ya ndugu zao ilhali wana bibi na watoto.” Maoni yako ni yepi? #MazungumzoWaziWazi #KituoChaWakenya

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Mpenzi wa kwanza na ameshagongewa wueh. Hamna huruma huku nje jamani😂😂😂. #MulikaMwizi #LoveZone #WaziriWaMapenzi #KituoChaWakenya