KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile
KBC Radio Taifa

@radiotaifafm

Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC, Inayoongoza kwa vipindi komavu na watangazaji wenye tajriba.

ID: 1410105788

linkhttps://radiotaifa.kbc.co.ke/ calendar_today07-05-2013 12:11:20

91,91K Tweet

70,70K Followers

1,1K Following

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Rais endelea kufanya kazi nasisi tuko nyuma yako, hapa Homabay sahi tunaona mabadiliko, focus , work.. kazi bila break - Millie Odhiambo #KBCRadioTaifa ^FN

Rais endelea kufanya kazi nasisi tuko nyuma yako, hapa Homabay sahi tunaona mabadiliko, focus , work.. kazi bila break - Millie Odhiambo 
#KBCRadioTaifa ^FN
KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Hii barabara ilizinduliwa mwaka 1965, na miaka 60 baaye haijawahi kujengwa! Rais nakusihi tunataka ufanye kazi - Millie Odhiambo #KBCRadioTaifa ^FN

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

"Sisi kama Tanzania, maandalizi yetu ya viwanja kwa ajili ya CHAN 2025 yanayotakiwa kuchezwa mwezi Agosti mwaka huu, yanaendelea vizuri sana. Viwanja vyote viko kwenye hali nzuri. Viwanja vitakavyochezewa CHAN ni uwanja wa Benjamin Mkapa ambao umekamilika ukarabati wake na Uwanja

As KPA we have built passenger terminal, this year we have handled nearly 8 cruise ships - Capt. William Ruto, MD KPA #MadarakaDay2025 ^FN

KBC Channel 1 News (@kbcchannel1) 's Twitter Profile Photo

MADARAKA DAY 2025 Rehearsals at Raila Odinga Stadium in Homabay ahead of Madaraka Day celebrations tomorrow. #MadarakaDay2025 ^RW #KBCniYetu KBC Radio Taifa

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Kenya Kwanza ndio serikali ya kwanza ambayo ilibuni wizara ambayo inasimamia masuala ya bahari - Geoffrey Kaituko #MadarakaDay2025

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Gooluck Shamala, Kite Instructor - Mchezo huu unavutia sana watalii. Kama Jamii kuna mambo mengi tunayoweza kufanya na blue economy #MadarakaDay2025

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Potential ya Uchumi Samawati ni kubwa sana na tutaendelea kuibadilisha tukiendelea kwa hii njia vile Rais wetu anafanya - Waziri Joho #MadarakaDay2025

KBC Radio Taifa (@radiotaifafm) 's Twitter Profile Photo

Sekta ya Blue economy ni sekta muhimu sana kwetu sisi kama Taifa kwasababu ni sekta ambayo ina nafasi mpya ya kiuchumi - Waziri Joho #MadarakaDay2025