
Rahuuuum
@rahmamwita
TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampionš/youtu.be/zCk8WTSBsfc
ID: 3421680677
http://www.oyotanzania.org 14-08-2015 07:18:20
62,62K Tweet
69,69K Followers
2,2K Following



Naibu katibu Ngome ya vijana_Official Taifa ACTWazalendo, Bi Ruqqayah Nasri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Ngome ya vijana_Official inakutakia kila lakheri #SautiyaVijana #VijanaMakini #TaifaImara





Hongera Sana KM Ado Shaibu ACTWazalendo Kwa kuwapokea kwa mamia Wanachama wa Chadema,CCM, CUF, wa Same Mashariki Kujiunga na Act Wazalendo Chama Makini chenye dhamira ya Kuwakomboa Watanzania.





Kesho Mei 24, 2025 KC Mstaafu, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe atazungumza na waandishi wa habari. Wapi? Kakonko. Kuna nini huko? Usiache kutufuatilia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo






Karibu sana ACTWazalendo Mwanasiasa Getrude umependeza sana.


