OleMooshe Ngobei (@realloismo) 's Twitter Profile
OleMooshe Ngobei

@realloismo

Hip_Hop || Jornalism || Entrepreneur

ID: 1538095285460779008

calendar_today18-06-2022 09:45:22

80,80K Tweet

1,1K Followers

6,6K Following

π–§π—‚π—Œπ—π—ˆπ—‹π—‚π–Όπ–Ίπ—… 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋 (@historical_znz) 's Twitter Profile Photo

Ilivyokuwa Darajani ya Zanzibar wakati huo kabla ya mto wa pwani uliotenganisha Mji Mkongwe na N'gambu kufukiwa. Kufahamu hatua ya ufukiaji wake, jisomee makala yetu ya awali⬇️ historiczanzibar.wordpress.com/2024/06/05/dar…

Ilivyokuwa Darajani ya Zanzibar wakati huo kabla ya mto wa pwani uliotenganisha Mji Mkongwe na N'gambu kufukiwa.

Kufahamu hatua ya ufukiaji wake, jisomee makala yetu ya awali⬇️ historiczanzibar.wordpress.com/2024/06/05/dar…
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Jamii Forums (JF) iboreshwe tuifanye kama Quora au Reddit ya Tanzania, kuwe na Midahalo, Archives and other resources and records kulingana na taarifa za Kitanzania. Kama haiwezekani basi tuwe na Mbadala wa JF

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza Julai 7, 2025 kupitia ST Bongo TV amesema β€œCHADEMA ipo tayari kushiriki Uchaguzi kama mabadiliko ya kimsingi yanayoridhisha yatafanyika” Ameongeza kuwa bado msimamo wa Chama hicho kuhusu Mabadiliko upo pale pale ili

Babu Bomba (@babubomba4) 's Twitter Profile Photo

Chemistry ya Nikki mbishi na Odong ilindwe popote. Wanao semaga mwana ana Ego. Haya humo kaelezea mwenyewe kwamba mnachanganya kumbe Huwa ana Confidence.

Chemistry ya Nikki mbishi na Odong ilindwe popote.
Wanao semaga mwana ana Ego.
Haya humo kaelezea mwenyewe kwamba mnachanganya kumbe Huwa ana Confidence.
Landiis Ngotila (@lngotila) 's Twitter Profile Photo

Fursa kwa Wafanyabiashara. Tunahitaji wakala wa Bidhaa zetu(Bajaji, Guta/toyo,piki piki) popote ulipo hapa nchini. Bidhaa zetu ni za Kuchaji yaani za Umeme, Sisi tunakupa Bure kwa makubaliano machache. Hivyo kama unajiona unaweza kujumuika nasi karibu katika mazungumzo 0742387750

Fursa kwa Wafanyabiashara. Tunahitaji wakala wa Bidhaa zetu(Bajaji, Guta/toyo,piki piki) popote ulipo hapa nchini. Bidhaa zetu ni za Kuchaji yaani za Umeme, Sisi tunakupa Bure kwa makubaliano machache. Hivyo kama unajiona unaweza kujumuika nasi karibu katika mazungumzo 0742387750
iHumphreys (@ihumphreyz) 's Twitter Profile Photo

Hii changamoto ni mimi peke yangu au ni nini? Yaani Umeme wa elfu 10-Unit 28 kwa matumizi ya kawaida kabisa, bila cooker, bila blender, bila hata pasi una last 5 days tuu? Aisee πŸ™ŒπŸ½

General Jecha Lissu (@moruoking) 's Twitter Profile Photo

Muulize Evance,anavyosema "mchezaji mzuri utamuona tu" anatumia kitu gani? Vigezo vya mchezaji mzuri kwake yeye ni nini ambacho sio numbers(stats) RiCH MikautadzeπŸ‡―πŸ‡²

ZEDD (@sisuthegreat) 's Twitter Profile Photo

Bebecool yupo nchini ku promote album yake ya "break the chains" unfortunately hajajua kama media za apa zipo katika vita πŸ˜‚

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imesajili Waandishi wa Habari 2,900 kupitia Mfumo wa Kidigitali wa TAI-Habari. Amesema hayo leo Julai 9, 2025 wakati wa Mkutano wa Wadau wa Habari kujadili

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Hivi, kimahesabu, CDM ikisusa si ni faida kwa vyama vingine 14 vya upinzani? Si vilipaswa kuwa vinashangilia kususa kwa kwa CDM? Si probability yao kupata viti zaidi inaongezeka? Au ninaelewa vibaya? Nielewesheni taratibu bila kunisusa.