Jaymelody (@realjaymelody) 's Twitter Profile
Jaymelody

@realjaymelody

Artist from East Africa (Tanzania) [email protected]

ID: 1395620888721117184

linkhttps://lnk.to/jaymelody calendar_today21-05-2021 06:02:27

209 Tweet

1,1K Followers

38 Following

E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

@realjaymelody has announced a new album that will be released next week on Thursday, April 26|24. Did you know that this is the debut album from the best-sounding Young Superstar to date.? Are Y’all ready👇

Jaymelody (@realjaymelody) 's Twitter Profile Photo

Check out my music on Apple Music. Listen now! music.lnk.to/CHlP8f My Album #Therapy ❤️🎇 available in all digital music platforms Enjoy good music 🎇 #TherapyJaymelody

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Album ya Jaymelody THERAPY hakika ni project nzuri sana. Uandishi ni top notch, Production (Jini & Aloyname) on point. Jay ame-stick mostly kwenye his seductive sound, ila kaacha a lil room kuonyesha his versatility. My faves “Sio Sawa”, “Wapeke Yangu”, “Bado”na “Siyawezi”

Album ya Jaymelody THERAPY hakika ni project nzuri sana.

Uandishi ni top notch, Production (Jini & Aloyname) on point. Jay ame-stick mostly kwenye his seductive sound, ila kaacha a lil room kuonyesha his versatility.

My faves “Sio Sawa”, “Wapeke Yangu”, “Bado”na “Siyawezi”
Jaymelody (@realjaymelody) 's Twitter Profile Photo

Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video) youtu.be/Ck3Wg8zL2_g?si… via YouTube Directed by Hanscana_ Enjoy good music #Therapy #Jaymelody #Wapekeyangu

Jaymelody (@realjaymelody) 's Twitter Profile Photo

Jay Melody _ 18 (Official Video) youtu.be/8ln9tVkj1zk?si… via YouTube Jay Melody _ 18 (Official Music video) 🎇Available on #Youtube #Jaymelody #18 #Therapy

Jaymelody (@realjaymelody) 's Twitter Profile Photo

Dar Es Salaam tukutane 20july,2024 na hii itakuwa show yangu ya kwanza kabisa Dar Es Salaam Karibu tufurahie mziki mzuri LIVE BAND 100% Tickets on Nilipe Clouds Media

Dar Es Salaam tukutane 20july,2024 na hii itakuwa show yangu ya kwanza kabisa Dar Es Salaam
Karibu tufurahie mziki mzuri LIVE BAND 100%

Tickets on Nilipe
Clouds Media
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥 Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa sita kwenye app ya Boomplay Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝 #HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥

Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa sita kwenye app ya Boomplay

Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝

#HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts
Boomplay Music (@boomplaymusic) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to Jaymelody, #WaPekeYangu ascends to the 2nd place on the #BoomplayAfricaTop100 Chart!🔥📱 The #Ogechi Remix featuring Davido also entered the Chart!📈🎉 Indulge in a seamless streaming experience with your favorite hits on #Boomplay! 🎧💫 #MusicChart

Congratulations to Jaymelody, #WaPekeYangu ascends to the 2nd place on the #BoomplayAfricaTop100 Chart!🔥📱

The #Ogechi Remix featuring Davido also entered the Chart!📈🎉

Indulge in a seamless streaming experience with your favorite hits on #Boomplay! 🎧💫

#MusicChart
Frank kachelewa🇹🇿🦁 (@frankkachelewaa) 's Twitter Profile Photo

Vocal la @realjaymelody linaisuka playlist yako leo! Popote lilipowahi kusikika na kuifanya ngoma kuwa kali basi ngoma hiyo ni sehemu ya #SocialPlaylist leo! Si unajua tunaelekea warehouse.tz kwenye Tiba ya Jay Melody July 20!? KenedyTheRemedy 🇹🇿 meena John Jackson tz Eliastza

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Huyu hapa kwenye #Chemba Jaymelody amefunguka mengi kuhusu safari yake ya muziki mpaka hapa alipofika lakini pia kubwa ni kuhusu historia inayokwenda kuandika tarehe 20 pale #warehouse.tz Masaki Unaweza kutazama full interview kupitia #cloudstv na YouTube channel yetu

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye orodha ya wasanii waliokimbiza na albamu zilizoongoza kusikiliza wiki hii 🔥 Msanii yupi umesikiliza sana ngoma zake na ni project ipi katika hizi hujachoka kusikiliza mpaka sasa? #TanzaniaCharts #HomeOfMusic

Karibu kwenye orodha ya wasanii waliokimbiza na albamu zilizoongoza kusikiliza wiki hii 🔥

Msanii yupi umesikiliza sana ngoma zake na ni project ipi katika hizi hujachoka kusikiliza mpaka sasa?

#TanzaniaCharts #HomeOfMusic
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥 Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa saba kwenye app ya Boomplay Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝 #HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥

Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa saba kwenye app ya Boomplay

Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝

#HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts