Kyoga (@rebecagyumi) 's Twitter Profile
Kyoga

@rebecagyumi

Passionately Curious | Gender and Governance | Founder: @msichanauwezo

#TeamChai 😉

ID: 205130727

linkhttp://msichana.or.tz calendar_today20-10-2010 06:32:23

25,25K Tweet

32,32K Followers

1,1K Following

Kyoga (@rebecagyumi) 's Twitter Profile Photo

Impunity sends the message to torturers that they will get away with it. Impunity denies the victims and their relatives the right to have the truth established, the right to see justice done and the right to reparation.

GetrudeM (@getrudemligo) 's Twitter Profile Photo

Dear sis Kyoga You didn’t just lead you transformed. Your bold decision to transition for new leadership is the truest form of power sharing. Thank you for showing us that real leadership is not held, it's passed on, intentionally and fearlessly. Your legacy leads on

Kyoga (@rebecagyumi) 's Twitter Profile Photo

Are you a young woman, strategic thinker, and relational leader? - this is a powerful opportunity for you to join Msichana Initiative as it's next Executive Director.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kujipendekeza sio ‘networking.’ Watu hufuata thamani. Ikiwa huna ufumbuzi fulani unaorahisisha kazi za watu, unaweza kufahamiana na watu wengi na isikusaidie. Tumia muda mwingi kujifunza, kujitafuta na kujenga umahiri hata kama itakubidi kuwa mkiwa kwa muda. Thamani yako ikianza

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kutumika sio ‘networking.’ Ukaribu na mtu anayekuzidi na haheshimu utu wako hiyo sio ‘neworking.’ Kujidhalilisha kwa watu usiofanana nao hiyo haiwezi kuwa ‘networking.’ ‘Networking’ inaanza mara tu uwezo wako unapohitajika. Ikifikia hapo mtu hawezi kukutumia na kukudhalilisha

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Tulikula mtama kwa maji, tukanawiri zaidi yao, hatukupambwa kama wao, tukapendeza zaidi yao. Walitubadilisha majina, hawakubadilisha hatima, walipotutupa shimoni, tukaibukia ikulu 🙌🏼🙌🏼🙏🏿🤛🏼🎼🎼

UN Women Tanzania (@unwomentanzania) 's Twitter Profile Photo

👏🏾 Hongera sana to Ambassador Liberata Mulamula, a valued member of the @AWLNTanzania Steering Committee, on her appointment as the new African Union Special Envoy on Women, Peace & Security (WPS). UN Women Tanzania looks forward to continuing our collaboration to advance the WPS

👏🏾 Hongera sana to Ambassador Liberata Mulamula, a valued member of the @AWLNTanzania Steering Committee, on her appointment as the new African Union Special Envoy on Women, Peace & Security (WPS). UN Women Tanzania looks forward to continuing our collaboration to advance the WPS
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ungana na Wasichina Vinara ambao kwa pamoja wameamua ajenda ya #PediBure ni ajenda muhimu ya kijamii. Waunge mkono kwa kusaini petition hii: pedibilakodi.netlify.app Tafadhali share kwa wadau wengine 🙏🏼 #PediBilaKodi

Ungana na Wasichina Vinara ambao kwa pamoja wameamua ajenda ya #PediBure ni ajenda muhimu ya kijamii.
Waunge mkono kwa kusaini petition hii:
pedibilakodi.netlify.app
Tafadhali share kwa wadau wengine 🙏🏼
#PediBilaKodi
DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Kura yako itasaidia maelfu ya wasichana na wanawake kupata #PediBure #PediBilaKodi na kuwaondoa katika unyanyapaa. Piga kura hapa: pedibilakodi.netlify.app