
Richard Hamisi
@richardhamisi1
Emotional controller
#IpoSiku
ID: 1085570307040124928
16-01-2019 16:11:44
89,89K Tweet
1,1K Followers
408 Following

Ni Furahi-Day π₯³ Guess who is behind the Mic today ππ Mood ndo kama hii ndani ya #JamboKenya Karibu tuburudike pamoja Vincent Ateya #JamboKenya #RadioNumberOne


Ndani ya #JamboKenya hii leo tunaangazia hali halisi ya siasa humu nchini naye Beatrice Elachi Tegea Mjadala wa #JamboKenya na MelodySinzore1 Vincent Ateya


Hii bag ya Vincent Ateya ikona nini ? Amesema haiweki chini liwe liwalo... either amebeba pesa ama lunch π . Unasikiliza #JamboKenya ukiwa wapi ?. MelodySinzore1 #JamboKenya #RadioNumberOne





Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Awamu ya Kwanza niko tuned mpaka mwisho nikiwa machakos town Dan Osinya SIR BRAMUEL BOKE KEDI Antony Obindi. π¬ππππππππ πΆππππππ Wangechi Kabiu (Cowgalππ) John Mwandawiro Violet Karani Mercy Kimchong Mika Aluda Richard Hamisi #DriveOnReloaded


Sasa kupigwa picha ni kitu ya kufanya Vinny Vincent Ateya aharibu sura kweli? π π€¦ββοΈ Ni #JamboKenya Furahi-Day members day. Jitambulishe tukutambueππ₯³ #RadioNumberOne


Fred Obachi Machoka OGW the blackest man in black africaππ₯ ndani ya #RogaRoga Wawawaaaa π karibu kwa burudani kamili kitoka Rhumba deepstate command centre π―π₯ #RadioNumberOne


Mood ni ya Fridayππ Coachez Vincent Ateya aka Vinny ndani ya #JamboKenya tukifunga wiki unakaribisha wikendi vipi? #RadioNumberOne


Leo ndani ya #RahaKaraha unaulizwa Kipi kilichoua hisia zako kwa mtu ambaye ulimpenda sana ? Tuelezee hapa ndani ukiwa naye Mkalla Mwambodze Mwanahamisi Hamadi Kadzo ndhundhi na Mamati Patisi #RahaKaraha #RadioNumberOne


Safari ya nusu fainali Uefa Champions League... jukwaa li wazi Radio Citizen Geoffrey Mwamburi (BEKI) Mkalla Mwambodze


Kibich namba nane mpooo???, Tuesday ni zamu yenu ya kupokea uhondo wa #uefachampionsleague Live kwenye Radio Citizen Naja na Mkalla Mwambodze π₯π₯π₯


Hapo ulipo uko tayari kupata kipindi ukipendacho cha #RahaKaraha? Karibu kwenye show kubwa, show ya wapendanao! Ungana naye Mkalla Mwambodze Mwanahamisi Hamadi Kadzo ndhundhi na Mamati Patisi #RahaKaraha #RadioNumberOne



Je, Wanaume Wasiooa na Wanawake Waliochoka Kungoja: Tatizo ni Nani ? Leo ndani ya #RahaKaraha nikumoto! Tupe maoni yako Mkalla Mwambodze Kadzo ndhundhi Mwanahamisi Hamadi na Mamati Patisi #RahaKaraha #RadioNumberOne



Karibu katika kipindi chako #RahaKaraha ukiwa nami Mkalla Mwambodze Mwanahamisi Hamadi, Mamatipatisi na Kadzo Ndhundhi na leo hii nakuuliza je, ni tabia gani hizi zinazoharibu uhusiano / ndoa za kisasa ? Tupe maoni yako #RahaKaraha #RadioNumberOne


Ni wakati wa Kikao cha #JamboKenya. Mazungumzo bila filter π₯ na MelodySinzore1, LINCOLN NJOGU Josephat Odipo na Jamila Mohamed HSC #RadioNumberOne
