
Ruqayya Mahmoud Nassir
@ruqayyanassir
Proud Member @ACTwazalendo |Binti Mzalendo | Deputy SG ACT Wazalendo Youth Wing | Shadow Deputy Minister of Health.
ID: 736404582935449600
http://www.actwazalendo.or.tz 28-05-2016 03:51:49
4,4K Tweet
2,2K Followers
1,1K Following


Jana tarehe 23/5/2025 nilichukua fomu ya kuomba ridhaa kwenye chama changu ACTWazalendo ya kua mgombea wa jimbo la Kinondoni. Ninagombea sababu nina deni la kuleta maendeleo katika jamii iliyonilea.


Ni jukumu letu ACTWazalendo kuonyesha mfano mzuri wa uongozi bora katika jamii zetu. #Wazalendo2025




GENERATION OMO 2025 Katibu wa Ngome ya vijana_Official Taifa Bussara Jr. akiambatana na Viongozi wengine amefanya ziara Mkoa wa Chakechake Pemba kichama leo 1/6/2025 nakufanya kikao na Vijana maalum wa majimbo yote ya mkoa huo #Ngomeipokazini #2025OMOanatosha #GenerationOMO






Shukrani sana Sheikh kwa uamuzi wako wa kuingia mstari wa mbele kabisa wa Siasa za Ukombozi. Ujio wako kwenye Chama chetu ACTWazalendo tunauthamini sana. Uamuzi wako tutauenzi. Heshima ulotupa IS SECOND TO NONE. Asante sana





