Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile
Latto 𝕏

@rydx_017

What's Trending? || Dm πŸ“© for Promo.

ID: 1305474280256307201

calendar_today14-09-2020 11:51:57

74,74K Tweet

85,85K Followers

805 Following

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Nandy Ni Mtata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ Hapo anawaza tu, "yani after Aniversary yetu baada ya kunivalisha Pete, hichi ndio unafanya Baba Naya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ" Video kwa Comments πŸ‘‡

Nandy Ni Mtata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ

Hapo anawaza tu, 

"yani after Aniversary yetu baada ya kunivalisha Pete, hichi ndio unafanya Baba Naya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ"

Video kwa Comments πŸ‘‡
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mlikuwa mnataka Reaction ya Dotto Magari baada ya show ya Msanii wake jana. Haya hii hapa. Msikilize, Dogo Rema ndio kaamka πŸ˜… Video kwa Comments πŸ‘‡

Mlikuwa mnataka Reaction ya Dotto Magari baada ya show ya Msanii wake jana.

Haya hii hapa.

Msikilize,

Dogo Rema ndio kaamka πŸ˜…

Video kwa Comments πŸ‘‡
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa MJINI FM, waliosimamishwa kazi baada ya kum-bully Dogo Paten Mmoja Ameomba msamaha kwa aliyoyafanya, Mwingine ka-print Tisherts za Maandishi Matatu, While Bimdada kakaa kimya anaasambaza Tishert ziuzwe πŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚ Video kwa Comments πŸ‘‡

Waandishi wa MJINI FM,

waliosimamishwa kazi baada ya kum-bully Dogo Paten

Mmoja Ameomba msamaha kwa aliyoyafanya,

Mwingine ka-print Tisherts za Maandishi Matatu,

While Bimdada kakaa kimya anaasambaza Tishert ziuzwe πŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚

Video kwa Comments πŸ‘‡
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tukio la Jana, Billnass leo amepost kumuomba Msamaha mkewe kwa alichokifanya. Unajua kaandika nini? Screenshot kwa Comments πŸ‘‡

Baada ya Tukio la Jana,

Billnass leo amepost kumuomba Msamaha mkewe kwa alichokifanya.

Unajua kaandika nini?

Screenshot kwa Comments πŸ‘‡
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Billnass na Nandy walitupa :- 1. Bugana 2. Party ft Mr Eazi 3. Totorimi β€˜Party’ ndio ilikuwa ngoma yangu ila ilipokuja β€˜Totoromi’ nikahama chama. Hiyo β€˜Party’ haikupewa tu promo ya kutosha ila level yake ni global, Mr Eazi alijiachia sana humo ndani.

Billnass na Nandy walitupa :-

1. Bugana
2. Party ft Mr Eazi
3. Totorimi

β€˜Party’ ndio ilikuwa ngoma yangu ila ilipokuja β€˜Totoromi’ nikahama chama.

Hiyo β€˜Party’ haikupewa tu promo ya kutosha ila level yake ni global, Mr Eazi alijiachia sana humo ndani.