#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile
#SAUTIZAO

@sautizao

Jukwaa la kupaza na kulinda sauti za vijana na wanawake mtandaoni #HakiZaKidijitali #DigitalRightsTZ #CivicTech chini ya uongozi wa @lpdigitaltz

ID: 1611006655923208193

linkhttps://youtu.be/hXTo8u8HMh8 calendar_today05-01-2023 14:28:29

2,2K Tweet

1,1K Followers

34 Following

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Ni muhimu kuwa makini na namna unavyotumia mitandao ya kijamii β€” linda taarifa zako binafsi, chagua nani wa kushirikiana naye, na usikubali kukaa kimya unapokutana na ukatili wa mtandaoni. πŸ‘‰ Kama unakumbana na changamoto yoyote ya usalama mtandaoni au unahitaji msaada, usisite

Ni muhimu kuwa makini na namna unavyotumia mitandao ya kijamii β€” linda taarifa zako binafsi, chagua nani wa kushirikiana naye, na usikubali kukaa kimya unapokutana na ukatili wa mtandaoni.

πŸ‘‰ Kama unakumbana na changamoto yoyote ya usalama mtandaoni au unahitaji msaada, usisite
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Lakini je, wanapoongea wanazungumzia nini? Ni haki zao? Maendeleo ya kijamii? Teknolojia? Au mustakabali wa taifa? πŸ’­ Unadhani mijadala ya vijana inaleta mabadiliko gani chanya katika jamii yetu? Tuambie kwenye comment ⬇️ #SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitalu

Lakini je, wanapoongea wanazungumzia nini?
Ni haki zao? Maendeleo ya kijamii? Teknolojia? Au mustakabali wa taifa?

πŸ’­ Unadhani mijadala ya vijana inaleta mabadiliko gani chanya katika jamii yetu?
Tuambie kwenye comment ⬇️
#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitalu
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama analinda ajira za wazawa. Serikali imepiga marufuku wageni kufanya shughuli za wazawa, lengo likiwa ni kulinda ajira za wananchi na kuvutia wageni kuwekeza kwenye miradi mikubwa. #OktobaTunatikiSamia

Mama analinda ajira za wazawa.

Serikali imepiga marufuku wageni kufanya shughuli za wazawa, lengo likiwa ni kulinda ajira za wananchi na kuvutia wageni kuwekeza kwenye miradi mikubwa.

#OktobaTunatikiSamia
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Kampeni sahihi huanza na wazo sahihi. Ni jambo gani lingepewa kipaumbele? #SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #SiasaNaVijana

Kampeni sahihi huanza na wazo sahihi.

Ni jambo gani lingepewa kipaumbele?
#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #SiasaNaVijana
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Watu milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura mwaka 2025 β€” je, utabaki kuwa mtazamaji au mshiriki? Sauti yako ni muhimu kwenye uamuzi wa kesho ya Tanzania. Jitokeze, shiriki, piga kura! πŸ—³οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #Uchaguzi2025 #ShirikiMaamuzi #SautiYakoMuhimu #SautiZao #MitandaoNaSisi

Watu milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura mwaka 2025 β€” je, utabaki kuwa mtazamaji au mshiriki? 

Sauti yako ni muhimu kwenye uamuzi wa kesho ya Tanzania. Jitokeze, shiriki, piga kura! πŸ—³οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 #Uchaguzi2025 #ShirikiMaamuzi #SautiYakoMuhimu #SautiZao #MitandaoNaSisi
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko yanaanza na Sauti ya ushiriki wako. #HappyNewMonth #SautiZao #SiasaNaVijana #SiasaNaDwmokrasia #MitandaoNaSisi

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Tujikumbushe episode maalum kuhusu Siasa,Vijana na Maendeleo ,Humu kuna mijadala mbali mbali inayoonesha Siasa ni nyenzo muhimu ya maendeleo, na ushiriki wa vijana huleta mawazo mapya, uwajibikaji na msukumo wa mabadiliko chanya. Vijana wakiwemo kwenye siasa, taifa hujenga msingi

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Matumizi ya AI yanafungua milango ya elimu bila mipaka, yanawawezesha vijana kujipatia ujuzi wa ajira wa kisasa, na kusaidia kuunda maudhui kwa ubunifu zaidi. AI pia inachochea biashara bunifu na miradi ya kijamii, huku ikiwapa vijana nafasi ya kuwa wavumbuzi wa suluhisho za

#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Na wewe je? Unachukua hatua gani kuleta mabadiliko kwenye jamii yako? πŸ—£οΈ Tuambie hatua nyingine unazochukua au unazopendekeza β€” share nasi kwenye comment #SautiZao #MitandaoNaSisi #VijanaNaMabadiliko #ChangamkiaJamii #YouthVoices #DigitalCivicEngagement #SautiZetuZinasikika

Na wewe je? Unachukua hatua gani kuleta mabadiliko kwenye jamii yako?

πŸ—£οΈ Tuambie hatua nyingine unazochukua au unazopendekeza β€” share nasi kwenye comment

#SautiZao #MitandaoNaSisi #VijanaNaMabadiliko #ChangamkiaJamii #YouthVoices #DigitalCivicEngagement #SautiZetuZinasikika
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai. Tunatoa pole kwa familia, Bunge la Tanzania na Watanzania wote. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. #RIP #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania

Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai.

Tunatoa pole kwa familia, Bunge la Tanzania na Watanzania wote.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

#RIP #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa amani Hayati Job Ndugai. Umeacha alama ya uzalendo, hekima, na utumishi uliotukuka kwa Taifa letu ,Kazi yako itaendelea kuenziwa milele. Lala salama shujaa wa Bunge letu. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Happy Nan Nane Day! Celebrating the hands that feed the nation β€” our farmers. August 8 – a reminder that agriculture is not just about soil and seeds, it’s about sustainability, innovation, and dignity. 🌱 Support the hands behind your meals. #NanNane2025 #YouthInAgriculture

Happy Nan Nane Day!

Celebrating the hands that feed the nation β€” our farmers.

August 8 – a reminder that agriculture is not just about soil and seeds, it’s about sustainability, innovation, and dignity.

🌱 Support the hands behind your meals.

#NanNane2025 #YouthInAgriculture
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Tupo Dodoma tukishiriki Kongamano la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali 2025. Kwa siku hizi 3 tunakutana na wadau mbalimbali kujadili, kujifunza na kuimarisha ushirikiano kwa maendeleo endelevu ya jamii. Tunajivunia kuwa sehemu ya jukwaa linalowakutanisha viongozi,

Tupo Dodoma tukishiriki Kongamano la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali 2025. Kwa siku hizi 3 tunakutana na wadau mbalimbali kujadili, kujifunza na kuimarisha ushirikiano kwa maendeleo endelevu ya jamii.

Tunajivunia kuwa sehemu ya jukwaa linalowakutanisha viongozi,
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Tujikumbushe episode maalum kuhusu Siasa na Propaganda ,Humu kuna Mijadala ya siasa na propaganda huangazia uhuru wa vyombo vya habari, ushawishi wa mitandao ya kijamii, athari za kampeni za kisiasa, uhalali wa kutumia propaganda kwa maendeleo, mchango wake katika mshikamano au

#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

Wakiwa na nguvu, ari na ubunifu, wanashirikiana kubadilisha changamoto kuwa fursa. Wanahakikisha #sautizao zinasikika kwenye masuala ya mazingira, elimu, teknolojia na ustawi wa jamii. Katika kila hatua, wanaweka msingi wa dunia yenye usawa, haki, na maendeleo endelevu kwa