SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile
SOFFTanzania

@sofftanzania

ID: 1831233215203287040

calendar_today04-09-2024 07:30:28

8 Tweet

10 Followers

1 Following

SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile Photo

FIRST MEETING OF PROJECT STEERING COMMITTEE FOR THE SOFF IMPLEMENTATION IN TANZANIA. Morogoro, Tanzania; 16th October 2024. For more information visit; meteo.go.tz #SOFFTanzania

FIRST MEETING OF PROJECT STEERING COMMITTEE FOR THE SOFF IMPLEMENTATION IN TANZANIA.

Morogoro, Tanzania; 16th October 2024.

For more information visit; meteo.go.tz 

#SOFFTanzania
SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile Photo

KAMATI TENDAJI YA MRADI WA SOFF YAKUTANA KUIDHINISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI TANZANIA. Morogoro, Tanzania; 16 Oktoba 2024. Kwa taarifa zaidi tembelea; meteo.go.tz #SOFFTanzania

KAMATI TENDAJI YA MRADI WA SOFF YAKUTANA KUIDHINISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI TANZANIA.

Morogoro, Tanzania; 16 Oktoba 2024.

Kwa taarifa zaidi tembelea; meteo.go.tz 

#SOFFTanzania
SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile Photo

🚨Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akizindua rasmi Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF, uliofanyika katika hotel ya Midland Inn View, Dodoma, tarehe 21 Januari, 2025.

🚨Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania: 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akizindua rasmi Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF, uliofanyika katika hotel ya Midland Inn View, Dodoma, tarehe 21 Januari, 2025.
SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a akieleza namna mradi wa SOFF utakavyosaidia katika kukabiliana na mapungufu yaliyobainika katika miundombinu ya hali ya hewa

Dondoo za Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania. Highlights of High Level Launch of the Systematic Observations Financing Facility (SOFF) project in Tanzania. #soff #soffTanzania

SOFFTanzania (@sofftanzania) 's Twitter Profile Photo

Kamati tendaji ya mradi wa SOFF yakutana kutathmini utekelezaji wa mpango kaz uliyoidhinishwa. Soma 👉 bit.ly/3XUQS3C

Kamati tendaji ya mradi wa SOFF yakutana kutathmini utekelezaji wa mpango kaz uliyoidhinishwa.

Soma 👉 bit.ly/3XUQS3C