Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile
Sabatho Nyamsenda

@sabatho7

Faculty Member, University of Dar es Salaam

ID: 4264694116

calendar_today24-11-2015 12:45:05

4,4K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

a human being (@kwekaopportuna) 's Twitter Profile Photo

One of the indicators of academic freedom in a country is the extent to which ideas from the research conducted by academics are taken on board by governments and actually influence decision making CODESRIA UDADISI Sabatho Nyamsenda

Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

Mwandishi wa kitabu husika andai kuwa kitabu chake cha awali ndicho kilichoibua akina Traore kuongoza mapambano dhidi ya ukoloni mambo leo wa Ufaransa 😂😂😂🙌🏿.

Mwandishi wa kitabu husika andai kuwa kitabu chake cha awali ndicho kilichoibua akina Traore kuongoza mapambano dhidi ya ukoloni mambo leo wa Ufaransa 😂😂😂🙌🏿.
Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

“Waokota taka rejeshi hufanya kazi, ambayo inapaswa kugharamiwa na wazalishaji wa taka za plastiki (polluter pays principle). Hata hivyo wazalishaji hao hawatimizi wajibu wao… na hivyo kuwaachia waokota taka rejeshi mzigo mzito wa usafishaji bila ujira unaowawezesha kuishi.” 👇🏿

Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

Je, unawafahamu hawa jamaa wanaotembea na maroba wakiokota chupa na taka zingine? MTAWADA wanatuambia kila tukiwaona tusimame na kuwaambia asante kwa kuokoa uhai wetu. Wanaokoaje? Soma tamko la MTAWADA khs #MeiMosi2025 hapa chini 👇🏿

Je, unawafahamu hawa jamaa wanaotembea na maroba wakiokota chupa na taka zingine? <a href="/Mtawada_tz/">MTAWADA</a> wanatuambia kila tukiwaona tusimame na kuwaambia asante kwa kuokoa uhai wetu. Wanaokoaje? Soma tamko la <a href="/Mtawada_tz/">MTAWADA</a> khs #MeiMosi2025 hapa chini 👇🏿
Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

Hatua hii iwabane zaidi wazalishaji wa vinywaji vya kuongeza nishati (energy drinks) ambavyo huzalishwa kwa wingi lakini chupa zake (chupa za rangi) “haziokoteki” kutokana na kutokuwepo kwa teknolojia ya kuzirejeleza. A

ADAM (@adamemedia) 's Twitter Profile Photo

"They offered me $5 million to shoot Ibrahim Traoré from behind specifically when he bends to pray to Allah. They promised my family and me citizenship in their country. They called it 'an offer I couldn’t refuse.' To them, money matters more than humanity. But I asked myself.

"They offered me $5 million to shoot Ibrahim Traoré from behind specifically when he bends to pray to Allah. They promised my family and me citizenship in their country. They called it 'an offer I couldn’t refuse.' To them, money matters more than humanity.

But I asked myself.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Adv. Peter Patience Kibatala, Peter Kibatala, akieleza mjumuiko wa masuala mengi ambayo yanaendelea katika kesi ya Tundu Antiphas Lissu na msimamo wa jopo la mawakili wa utetezi ikiwa ni pamoja na kueleza mgomo wa kula gerezani alioanza Adv. Tundu Lissu hadi pale atakapopelekwa mahakamani.

Africa Archives (@africaarchives_) 's Twitter Profile Photo

"At first, when my loyal ADC told me about the quest of the white pawns on the board to throw me overboard, giving him $5M as an advance pay. He brought out the money and suggested we burn it since it was an evil money. I said this is the return of part of Africa's looted money.

"At first, when my loyal ADC told me about the quest of the white pawns on the board to throw me overboard, giving him $5M as an advance pay. He brought out the money and suggested we burn it since it was an evil money. I said this is the return of part of Africa's looted money.
Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

CCM inao watu wengi tu wenye busara za kiuongozi na uwezo wa kitaaluma wa kung’amua hekimi za Mzee Warioba katika kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Badala yake kimeamua kuweka pamba masikioni na kumwachia mzee wa “mpox,” ambaye haelewi kama nchi ipo katika mkwamo!

IDEAs (@deveconnetwork) 's Twitter Profile Photo

Ahead of the 🌍 Conference on 70 Years After Bandung June 2–3, 2025 IDEAs, BCIS & YUKTHI are pleased to share blogs by experts/activists from Asia, Africa, Latin America & the Middle East. For details & Blogs see rb.gy/sn7gtd. Full Agenda shorturl.at/ddCf6

Ahead of the 🌍 Conference on 70 Years After Bandung June 2–3, 2025 IDEAs, BCIS &amp; YUKTHI are pleased to share blogs by experts/activists from Asia, Africa, Latin America &amp; the Middle East. For details &amp; Blogs see rb.gy/sn7gtd. Full Agenda shorturl.at/ddCf6
IDEAs (@deveconnetwork) 's Twitter Profile Photo

Sabatho Nyamsenda on the debate between Nyerere and Nkrumah on South-South-Solidairy and a trade union of the poor. ‘A Trade Union of the Poor’? Re-imagining South-South Solidarity with Nkrumah and Nyerere Sabatho Nyamsenda

Sabatho Nyamsenda on the debate between Nyerere and Nkrumah on South-South-Solidairy and a trade union of the poor. ‘A Trade Union of the Poor’? Re-imagining South-South Solidarity with Nkrumah and Nyerere <a href="/Sabatho7/">Sabatho Nyamsenda</a>
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

The logic of repression continues. If you use violence to silence 1 person whose ideas/words they don't like, at least 10 people will be affected and angered. So now you have to deal with 10 people and if you use violence against them, then you will have to deal with 100 people

UN-Habitat (@unhabitat) 's Twitter Profile Photo

A bicycle-friendly city is a place where cycling is safe, convenient, and accessible for everyone. UN-Habitat works with governments and communities to create cities come up with plans for non-motorized transportation, put into action bicycle masterplans.

A  bicycle-friendly city is a place where cycling is safe, convenient, and accessible for everyone.

UN-Habitat works with governments and communities to create cities come up with plans for non-motorized transportation, put into action bicycle masterplans.