
Salim Kikeke
@salym
Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania
ID: 21997871
https://www.youtube.com/channel/UCPUyfcCAY-Y-lnDpVe9yUcw?view_as=subscriber 26-02-2009 10:54:50
24,24K Tweet
1,1M Followers
536 Following

Opening Show of SICA presented by Orun Studios Orun Africa in Abidjan Ivory Coast Behind the scenes

ORUN Studios Orun Africa launches in Abidjan, marking a new era for African Storytelling

Karibu kwenye KASRI la Salim Kikeke 👑



Hii hapa original version. Shangazi Maria Sarungi Tsehai et al- The other one felt edited kwa sababu capcut (ni app😎) ilikuwa inagenerate subtitles na kuruka gaps!! Mnioneshe kitu gani kimekuwa edited.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Raila Odinga Salim Kikeke matajiri kwenye harusi ya kitajiri 👍👍💪


Kwa mwaka mmoja pekee mmefanikiwa kuiweka ishara dhahiri ya mapinduzi kwenye sekta ya habari na burudani katika ardhi ya mtanzania. It's your time now to shoot for the stars and become more professional. Happy birthday to you Crown Media 🎉🎉 #A_Fan 🫡 Alikiba Salim Kikeke




Yaani X amazes me! Mimi nimeandika PARA MOJA! Wanasema ‘Mkeka’ namaliza miti- my brother Godbless E.J. Lema Kaandika a whole F thesis wanasema ‘kaupiga mwingi’ 😅 Jicho F Kengeza.





