Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile
Samalen Tips🤴

@samalentips

USHINDI NDIYO JADI YETU |Blogger|YouTuber|C.E.O,Manager&Boss @SamalenTv © I do Tech&Sports #SamalenTips🤴♱👽

ID: 1624647346813296641

linkhttps://samalentv.bio.link calendar_today12-02-2023 05:51:56

30,30K Tweet

18,18K Followers

163 Following

SAMALEN TV (@samalentv) 's Twitter Profile Photo

I no longer have access to my account, and unauthorized activity has been occurring under my name. Please help me recover my account as soon as possible, as it is important for my work . I am ready to provide any verification needed. Instagram Meta Facebook

Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Leo niliwapa mkeka wa odds 112+ bure kabisa kwenye group langu la whatsapp na mkeka huo umetiki napenda kutoa hongera sana kwa wote walioucheza mkeka huo HONGERENI SANA chat.whatsapp.com/DDT1WbDxoiWGRn… 🙏

Leo niliwapa mkeka wa odds 112+ bure kabisa kwenye group langu la whatsapp na mkeka huo umetiki napenda kutoa hongera sana kwa wote walioucheza mkeka huo
HONGERENI SANA  chat.whatsapp.com/DDT1WbDxoiWGRn…  🙏
Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana ndugu VVIP, Baada ya kushinda odds 113 jana mkeka wetu wa VVIP pia umeshinda, guess what? We are the best in town 🤝 Hongereni sana Tukutane tena leo jioni Chati whatsapp tu nasi 0788016006 🙏

Hongereni sana ndugu VVIP, Baada ya kushinda odds 113 jana mkeka wetu wa VVIP pia umeshinda, guess what? We are the best in town 🤝 Hongereni sana Tukutane tena leo jioni  Chati whatsapp tu nasi 0788016006 🙏
Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa kama wewe mwanang ila kwa sasa nimeamua badala ya kuendelea kufanya mambo yasiyo na baraka nianze kutoa kidogo nilichonacho nisaidie wenye changamoto mbalimbali , dm nina watu kama 3 wana changamoto serious zinazohitaji support unaonaje tukawazingatia ? 🙏

Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Niliona Carol Ndosi analalamikia huduma za Gran Meliá kiukweli siwezi ku blame huduma zao maana mara nyingi nimekuwa nikienda napata huduma nzuri sana , ninachoona maybe ni namna utakavyojiweka na kitu utakachoagiza , huduma mbaya unaikaribisha mwenyewe 🤣

Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

TRA nawaita mara 3 , siku nikiona mahala popote mmeitumia idea yangu nitawapeleka mahakamani, maana najua idea niliyotoa ni very unique ila tangu mwanzo nilijua mnataka kucheza na akili zetu mchukue ideas zetu for free then muweke watu wenu Olewenu TRA Tanzania 💔

TRA nawaita mara 3 , siku nikiona mahala popote mmeitumia idea yangu nitawapeleka mahakamani, maana najua idea niliyotoa ni very unique ila tangu mwanzo nilijua mnataka kucheza na akili zetu mchukue ideas zetu for free then muweke watu wenu Olewenu <a href="/TRATanzania/">TRA Tanzania</a> 💔
Samalen Tips🤴 (@samalentips) 's Twitter Profile Photo

Hawa vijana wameibuka kila kona kuchukua fomu za kujiingiza kwenye siasa , mbona kama ni kulidharau bunge? Hivi tunategemea hawa watu wenye njaa kiasi hiki kwenda kutuwakilisha bungeni? Bunge linahitaji watu wazima na wazee sio waganga, wachekeshaji na machawa . Hatupo tayari !!!