Parit Saruni
@saruniparit
ID: 910847523849347072
21-09-2017 12:45:47
74 Tweet
9 Followers
158 Following
Mateso na Manyanyaso ya mwenye haki ni sawa na kuchezea sharubu za mwenyezi Mungu. Hachelewi kujibu kwa wakati. Freeman Mbowe Sio gaidi
Halima James Mdee Nakukubali Sana sana. Hawajaona umuhimu jinsi ulivyo kipigania chama wamekumbuka ya mda mfupi wamesahau ulivyo teseka jela na kupigwa na polisi wamesahau ila Wameona wakudharirishe kaza mwendo tuko pamoja