SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile
SATIVA17

@sativa255

Survivor of Head Bullet 27.06.2024. / Human rights defender. / PYALA PYALA.

ID: 1112374612548075523

calendar_today31-03-2019 15:22:29

194,194K Tweet

121,121K Followers

4,4K Following

ELIZABETH MAMBOSHO (@mambosholizzy) 's Twitter Profile Photo

Vijana hawa maarufu kwa jina wachokonozi Wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi wakiwa na Land cruiser hardtop nyeupe.... Ndugu zangu hali Bado ni mbaya mnoo. #NoReformsNoElection #bringbackwachokonozi

Vijana hawa maarufu kwa jina <a href="/wachokonozi/">wachokonozi</a>  Wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi wakiwa na Land cruiser hardtop nyeupe....
Ndugu zangu hali Bado ni mbaya mnoo.
#NoReformsNoElection 
#bringbackwachokonozi
Thakibu Yusuph (@twitani_2014) 's Twitter Profile Photo

Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao

Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nani anawadanganya kwamba mtateka kila mtu? Nani amewambia kwamba kwa kuteka watu mtafanikiwa kunyamazisha umma? Nani anawambia kwamba Mbinu hii itafanya muogopwe au kunyamazisha watanzania wote? Kwa taarifa yenu, kila damu mnayomwaga inachochea hasira za watu, inaondoa uoga

Nani anawadanganya kwamba mtateka kila mtu?

Nani amewambia kwamba kwa kuteka watu mtafanikiwa kunyamazisha umma?

Nani anawambia kwamba Mbinu hii itafanya muogopwe au kunyamazisha watanzania wote?

Kwa taarifa yenu, kila damu mnayomwaga inachochea hasira za watu, inaondoa uoga
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

To Samia Suluhu #FreeWachokonozi You can’t abduct, torture and kill everyone Stop this ❌ How many lives do you want to be accountable for when the day comes?

To <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 
#FreeWachokonozi 
You can’t abduct, torture and kill everyone 
Stop this ❌
How many lives do you want to be accountable for when the day comes?
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea Taarifa kuhusu kukamatwa na kutoonekana kwa vijana hawa katika kituo cha Polisi Arusha au Usariver ilikodaiwa wamepelekwa. Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv.David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa

Nimepokea Taarifa kuhusu kukamatwa na kutoonekana kwa vijana hawa katika kituo cha Polisi Arusha au Usariver ilikodaiwa wamepelekwa.

Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv.David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Translation: Two young men, Joseph Mrindoko and Jackson Kabalo, who form the group known as "Wachokonozi," were attacked by armed individuals who identified themselves as police officers while at their home in Maji ya Chai, Arumeru District, Arusha Region. According to

Translation:

Two young men, Joseph Mrindoko and Jackson Kabalo, who form the group known as "Wachokonozi," were attacked by armed individuals who identified themselves as police officers while at their home in Maji ya Chai, Arumeru District, Arusha Region.

According to
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Wiki hii watu wenu wamekufa ktk ajali wakienda kuongeza namba kwenye mikutano yenu. Bado hamuamini sote tufakufa? Sasa kwanini mnateka na kuua wanaotoa maoni msiyoyapenda? Who do you think you are? Mtaishi milele? Kwanini hamjifunzi? #FreeWachokonozi

John Kitoka (@kiagata) 's Twitter Profile Photo

Just days after Tanzania’s Permanent Representative to the United Nations, Dr. Abdallah Possi, ignorantly and deceptively assured the UN Human Rights Council UNHumanRightsCouncil that all is well in Tanzania and dismissed allegations of human rights violations as unfounded, two prominent

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Bimkubwa alijisalimisha mikononi mwa MAFWELE. Yani wanataka nchi nzima igeuke kwaya ya KUSIFU na kuabudu, wote tuimbe “mama mama” kama kusanyiko la VICHAA. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Bimkubwa alijisalimisha mikononi mwa MAFWELE.

Yani wanataka nchi nzima igeuke kwaya ya KUSIFU na kuabudu, wote tuimbe “mama mama” kama kusanyiko la VICHAA.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

CLUB WORLD CUP 🎯 CODE: TRSHV ODDS: 2.1 STAKE: 750K PARIPESA Jisajili: cutt.ly/SativaParipesa Promo code: SATIVA17 App link ANDROID TUU: paripesa.bet/sativa17app BET & RELAX 🔞

CLUB WORLD CUP 🎯

CODE: TRSHV

ODDS: 2.1

STAKE: 750K

PARIPESA

Jisajili: cutt.ly/SativaParipesa

Promo code: SATIVA17

App link ANDROID TUU: paripesa.bet/sativa17app

BET &amp; RELAX 🔞
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Nyakati hizi NGUMU za kuwindwa kama wanyama porini unahitaji kusikiliza sana nyimbo za kukuweka karibu na MUNGU. Leo tangu asubuhi nakula hii ngoma. Ukipata muda isikilize.🙏🏿 TUPO VITANI NA MWISHO WA HII VITA SISI NDIO WASHINDI. HAKI ITASHINDA TUU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Nyakati hizi NGUMU za kuwindwa kama wanyama porini unahitaji kusikiliza sana nyimbo za kukuweka karibu na MUNGU.

Leo tangu asubuhi nakula hii ngoma. Ukipata muda isikilize.🙏🏿

TUPO VITANI NA MWISHO WA HII VITA SISI NDIO WASHINDI. HAKI ITASHINDA TUU.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
shangwe Ayo (@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Janeth Rithe anaendelea kushikiliwa na katika Kituo cha Polisi cha Kati kwa mahojiano zaidi. Ndugu Rithe alijisalimisha Polisi kwa ajili ya mahojiano yaliyodumu zaidi ya masaa matano. Licha

TAARIFA KWA UMMA

Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Janeth Rithe anaendelea kushikiliwa na katika Kituo cha Polisi cha Kati kwa mahojiano zaidi.

Ndugu Rithe alijisalimisha Polisi kwa ajili ya mahojiano yaliyodumu zaidi ya masaa matano. Licha