Dorothy Semu
@semudorothy
Party Leader, 2024- @ACTWazalendo
Mother. Physiotherapist.
Believer of a Prosperous Tanzania
ID: 372748361
http://www.actwazalendo.or.tz 13-09-2011 10:35:38
28,28K Tweet
13,13K Followers
3,3K Following

Ahsante sana Wakili Msomi Jasper Kido kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACTWazalendo; mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Ni leo. Kama ilivyo ada yetu. Chama cha ACTWazalendo tunawaletea Uchambuzi wa Ripoti ya CAG. Tutakuwa mubashara. Usiache kutufuatilia. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote Wasemaji wa Kisekta

Damned If You Do, Damned If You Donât: Misreading Silence as Complicity in Tanzanian Politics By Ayker-Adila Reading The Chanzoâs May 6, 2025, article, ACT Wazalendoâs Presidential Candidate Ahead of Tanzaniaâs 2025 Elections: A Silent Deal With CCMâs Samia?, reminded me of a

"Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2023/24, imebainisha hoja za ubadhirifu unaotokana na upotevu fedha, ufisadi na ukiukwaji wa sheria za manunuzi zenye thamani ya shilingi trilioni 2.56" Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Tunasisitiza kwamba watumishi wote wanaohusika na kuwezesha kuwepo na kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu na upotevu wa mapato wakamatwe na hatua kali za kisheria na kiutawala zichukuliwe." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2023/24, imebainisha hoja za ubadhirifu unaotokana na upotevu fedha, ufisadi na ukiukwaji wa sheria za manunuzi zenye thamani ya shilingi trilioni 2.56" Isihaka Mchinjita #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo âŚâŚâŚ

Waziri Kivuli wa Fedha kutoka ACTWazalendo , Kiza Mayeye, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita âmfumo wa kihujuma na wa kizembe unaoendeshwa na serikali ya CCMâ katika mashirika ya umma, baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa

"Kama mataifa ya Ethiopia kupitia Ethiopian Airlines au China kupitia Huawei wameweza kuyaendesha mashirika yao ya umma kwa mafanikio na weledi, Tanzania pia inaweza. Kinachotakiwa ni uongozi makini,na si CCM iliyofilisika kisera na kifikra.â Waziri Kivuli wa Fedha Kiza Mayeye.

"Tunasisitiza kwamba watumishi wote wanaohusika na kuwezesha kuwepo na kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu na upotevu wa mapato wakamatwe na hatua kali za kisheria na kiutawala zichukuliwe." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

Leo Mei 18, 2025 Katibu Mkuu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Kilwa Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ndugu Twahir Bingwe. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo

Kesho Makamu Mwenyekiti Bara ndugu Isihaka Mchinjita atazungumza na waandishi wa habari. Wote mnakaribishwa. #Taifalawote #Maslahiyawote #OpareshenilindaDemokrasia