Wizara ya Katiba na Sheria (@sheria_katiba) 's Twitter Profile
Wizara ya Katiba na Sheria

@sheria_katiba

Government org.providing effective Constitutional & Legal services via policy & legal frameworks in the guidance & delivery of Constitutional & Legal Services

ID: 730989349035184128

linkhttp://www.sheria.go.tz calendar_today13-05-2016 05:13:36

1,1K Tweet

86,86K Followers

73 Following

Wizara ya Katiba na Sheria (@sheria_katiba) 's Twitter Profile Photo

Wananchi mbalimbali waliojitokeza katika uwanja wa Azimio Mtende wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa taifa wa Zanzibar, Wimbo wa taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika uwanja wa Azimio Mtende.

Kikundi cha Sanaa Taifa, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba wakitoa burudani leo tarehe 10 Mei 2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria mkoani Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi.

TANZANIA INASIFIKA DUNIANI KWA KUJALI WATU WAKE-RC KUSINI UNGUJA Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Ayoub Mohamed Mahmoud amesema utashi wa viongozi wa kitaifa wa kuhakikisha watanzania wanapata msaada wa kisheria umeifanya Tanzania kusifika Duniani kwa kujali watu wake.

TANZANIA INASIFIKA DUNIANI KWA KUJALI WATU WAKE-RC KUSINI UNGUJA 

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Ayoub Mohamed Mahmoud amesema utashi wa viongozi wa kitaifa wa kuhakikisha watanzania wanapata msaada wa kisheria umeifanya Tanzania kusifika Duniani kwa kujali watu wake.
Wizara ya Katiba na Sheria (@sheria_katiba) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Mawakili Zanzibar ZLS kimeahidi kuendeleza ushirikiano na serikali, Mahakama na wadau wengine wa sheria katika kuhakikisha dhamira ya serikali ya kuifanya kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inakuwa endelevu

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, UWT Taifa Mary Pius Chatanda amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia inayotekelezwa nchi nzima imekuwa msaada mkubwa kwa wanawake ambao wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya mirathi.

Jumla ya wananchi 2,774,495 wakiwemo wanawake 1,390,535 na wanaume 1,381,960 wamepatiwa huduma za Msaada wa Kisheria tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa upande wa Tanzania Bara mwezi Machi 2023.

Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mwl. Haroun Ali Suleiman amepongeza ushirikiano wa watendaji wa Wizara yake na Wizara ya Katiba na Sheria (Bara) katika kufanikisha utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia, kuwalinda watoto na wanawake ili kulinda kizazi kijacho.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Eliakim Maswi akitoa elimu kuhusu Msaada wa Kisheria kwa wanafunzi ambao ni wanakikundi cha Sanaa cha Taifa kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba leo tarehe 10 Mei, 2025 katika banda la Wizara ya Katiba na Sheria (Bara).

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Eliakim Maswi akimkabidhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwananchi aliyefika katika banda la Wizara kwa ajili ya kupata elimu ya Msaada wa Kisheria.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Eliakim Maswi akitoa elimu kwa wananchi mbalimbali waliofika katika banda la Wizara mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Kusini Unguja

Viongozi zaidi ya 4,000 wa ngazi ya mashina, Mtaa na Kata katika Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, wamepatiwa mafunzo ya kisheria kwa kipindi cha siku tatu kuanzia tarehe 08 Mei 2025 hadi Mei 10, 2025.

Wakili wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria George Onyango akitoa elimu ya Kisheria kwa wajumbe zaidi ya 1,000 wa Kamati za Siasa na kamati za utekelezaji ngazi za matawi Manispaa ya Songea leo Mei 12, 2025.

Afisa Sheria, kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Prisila Kayuli akitoa elimu juu ya Utatuzi wa migogoro kwa kutumia njia mbadala kwa wajumbe zaidi ya 1,000 wa kamati za Siasa na Utekelezaji katika ngazi za matawi kutoka katika kata tano za Manispaa ya Songea leo Mei 12, 2025

Wataalam wa Sheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiendelea kutoa huduma ya elimu ya Sheria kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) kwa wananchi wa Kijiji Cha Ngadinda, Halmashauri ya Madaba leo Mei 12, 2025

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameongoza kikao cha saba cha jopo la Ithibati, kujadili na kupitisha maombi ya Wasuluhishi, Wapatanishi, Waendesha Maridhiano na Waendesha Majadiliano nchini, kikao kilichofanyika tarehe 12 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam.

NKM Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Franklin Rwezimula ametoa rai kwa Washiriki wa kikao kazi cha kupitia Rasimu ya Muswada wa marekebisho ya Sheria za Haki Jinai kuzingatia malengo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia,Suluhu Hassan,ili Haki ipatikane.